Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Naona unatufatilia Chaliii yangu...!!Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa!
Wajuzi mtujuze kwanini?
Chalii una mapee- una mapepe kwelii.Wadau huko Arusha jina la Gloria linatamkwa Gilooo! tena kwa kuvuta. Mother anatamkwa Mazaaaa!
Wajuzi mtujuze kwanini?