Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hivi mwalimu wewe mgonjwa?Huwezi pata mabadiliko yenye tija kama ukichagua watu wenye hulka FULANI ya wizi na ufisadi!!
Yeye angeendelea na wateule wa jpm ambao wangeendeleza ULE uchapa kazi wake!!
Angemtumia majaliwa kama focal point ya endelezo la mageuzi bila kujali hatma ya urais wake huko mbeleni!!
Yeye akakubali kuongozwa KINGI na wale wazee vijana!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
Hujui kuwa Majaliwa ndiye mtendaji mkuu wa serikaki?
Hili hakuliona?