Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

Hivi mwalimu wewe mgonjwa?
Hujui kuwa Majaliwa ndiye mtendaji mkuu wa serikaki?
Hili hakuliona?
 
Mama kidogo aanguke kwa presha, basi tokea tarehe hiyo mama amekuwa mtu wa sonona, usingizi umekataa kabisa, mpaka kaamua kutumia mvinyo kinyume na Imani yake.[emoji1787]
 
Labda yeye ana umeme 24/7, angekuwa anakatiwa kama huku kwetu madongo poromoka lazima angelala tu wakati wa usiku; macho hayana uzalendo wa kukesha wakati yako gizani.
 
Umenena !
 
Ulianza hivihivi kwa Kabendera, hadi akajikuta nyuma ya nondo, na maisha yake yakaharibika beyond repair,hili jina la MSAGA SUMU linakufaa sana uncle
 
Mama kidogo aanguke kwa presha, basi tokea tarehe hiyo mama amekuwa mtu wa sonona, usingizi umekataa kabisa, mpaka kaamua kutumia mvinyo kinyume na Imani yake.
Unafiki, kwanini wasiweke sheria kali kulinda rasilimali za nchi? Wanaogopa nini?
 
Ulianza hivihivi kwa Kabendera, hadi akajikuta nyuma ya nondo, na maisha yake yakaharibika beyond repair,hili jina la MSAGA SUMU linakufaa sana uncle
Mkuu Capt Tamar, amini nakuambia, wakati nikileta hizi makala za jarida la The Economist kuhusu Tanzania humu jf
Rejea za Mauongo ya The Economist
  1. Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
  2. The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!.
  3. The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
  4. Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?.
  5. Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
  6. Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
  7. Jarida la The Economist Kwa Uongo Limekubuhu, Laja na Uongo Kuhusu EAC Ladai TZ na Kenya Hazielewani. PK na YM Hawaivi, Burundi Kando!.
  8. Jarida la Economist lamwaga mboga kuhusu muungano: The status of Zanzibar, Imperfect union
  9. Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
  10. Kumbe Jarida La The Economist Sometimes Linaweza Kuandika Jambo Jema Kuhusu Tanzania!, Laisifu Ifakara Health Institute kwa Utafiti wa Malaria Afrika.
  11. The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!.
  12. The Economist na Mauongo Yao!, Watuita "Tanzania Dam Nation","Mr Magufuli is Shackling The Economy","Officials Scared to Advice!", Watishia Unless...
Wakati nikileta makala hizi humu jf, sikuweza kumjua mwandishi ni nani na mpaka leo, sijawahi kumjua mwandishi ni nani. Kwa vile mimi ni muumini wa karma, kama ni kweli kilichomtokea ni kwa sababu ya makala hizi, then karma yake itanishukia, lakini kama alishughulikiwa kwa mengine ambayo mimi sihusiki, naamini mnawajua wahusika na tayari karma imeisha washughulikia, mimi niko gado, na kazi inaendelea!.
P
 
Matumizi mabaya ya 'fasihi'. Heshima muhimu sana ndugu yangu.🙏🙏🙏
 
Mama piga kazi kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6
 

Lack of action, ndio maana wanamuona hana lolote. Asipoamka now, uchaguzi ujao watamuhujum hadi hiyo nafasi
 
He! Hii tumekubaliana wapi?
 
He! Hii tumekubaliana wapi?
Sio kila kitu ni mpaka mkubaliane expressly,vitu vingine ni kukubalika tuu impliedly!, unadhani kuna watu wowote tulikubaliana Nyerere aitwe Mwalimu, Mwinyi aitwe Rukhsa, Jakaya aitwe JK, Magufuli aitwe JPM na sasa Samia aitwe Mama?.
Hakuna makubaliano yoyote ni kukubalika tuu!.
P
 
ccm haiwezi kuwaletea watu mfumo mbadala na wenye tija. Watu wake wana sifa zile zile tofauti majina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…