Ewaaa... safi kabisa mtakatifu Nyau
Atoe mchango tukamzike Ms. Msambwanda mwakaleliHivi kaolewa au ndio vile kwa bashite
Uje Peke Ako Paka Wangu,kizuri Kula Peke Yako Achana Na Misemo Ya Kizamani
Hahhahaaa nataka babu awe anatoa maelekezo wakati mtakatifu anakagua au unasemaje babu AsprinUje Peke Ako Paka Wangu,kizuri Kula Peke Yako Achana Na Misemo Ya Kizamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Talaka Yako Inakujia Na Uber
Ushindwe Na Ulegee
Mungu akikunyima upeo na utambuzi wa mambo ni hatari sana.Mama anajua michezo ya wazungu lakini?
Hata mondi mtaalamuMama anajua michezo ya wazungu lakini?