Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

Yeye huyo mama anaonekana chakula cha watu huyo.. Kwanini yeye hakuzaa na mzungu ? Hii ndio mimama inayopenda kutoka na vijana iko wazi ukimcheki ni utajua tu, labda yeye atafute mzungu si bado anadai, huyu anajua wazungu kweli?

Au kuna mtu kamvuruga kimapenzi huyu hajatulia..!!
 
[emoji23][emoji23] Wamama wa tanzania hawaishi fitukooo
 
Alafu mnasema usiposikiliza ya wazazi unapata laana au lazima umsikilize mama yako
 
Yaan yeye kazaa na muafrika halafu mwanae aolewe na mzungu [emoji23][emoji23]

Sijui hao wazungu kawaonea wapi hayo mapenzi yao ya kweli.
 
Hapa bado wabongo tunafail tu usaliti hautaisha mama sio waafrika wote tupo vile hata mm namwona mwanao lkn sasa tutaishje wkt anashinda mitandaoni?
 
hajuwe ushenzi unaofanywa na wadhungu bora ata w afrika tuna kaimani kadogo .. akipata mdhungu atakuwa anabaka hadi ao watoto wake alio wazaa inje ya ndoa wadhungu minyama tu
 
Wazungu hawanaga longolongo sawa, jee kwa Hamisa ambae kila uchao anafyatua tofali na kombora jingine!?, unadhani Mzungu ye fala?
 
Back
Top Bottom