Mama hamtaki Mpenzi wangu

Walevi wanakuwa siyo Malaya.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umesema mama hamtaki mpenzi wangu ,ushasema mpenz ni wako ila mama hamtaki ,hauoni apo mama anamtaka mpenz ambaye ata kuwa wake na wako kwa sababu huyo wako tu yeye hamtaki????
 
ni
tumie namba yake niseme nae
 
niko WAWATA
lakini pia nmemwambia hiki kitu badilika kwa sababu umeamua kubadilika sio kisa mimi, maana mimi leo nipo kesho sipo utarudia njia zako
ila ukibadilika kwasababu umeamua kubadilika itakujenga kimsingi hii namwimbia daily na namwambia ibada ibada ibada yani hakuna mawaidha simpi kwakweli.
.Yeye anasema lazima kwenye maisha angebadilika tu na mabadiliko ndo haya kwahiyo atapambana abadilike moja kwa moja
 
Aiseh!
Sema mama ako anaonekana ana matarajio makubwa sana juu yako
Mnooo
yani kuna nambo alipanga kwangu sasa kuwa na huyu kunamfanya aone matarajio yanakufa kisa mtu mmoja... inamuumiza
japo nmemwambia uliowataka sijapata na hawana mapenzi kama haya
 

Okey mungu awatangulie.
 
Mindset yake ndio naitaka na nmeona inafaa tunamatch hatutasumbuana sana japo yeye kidogo msahaulifu huwa ni wakukumbushwa ila ukikumbusha ni mtekelezaji mzuri pia ana mipango na anajua majukumu yake safi.
utanashati sio tatizo kwangu kabisa.
Materialistic hizo anataka mama
 
Narcissistic mom/toxic mom!!O level!!nani Kama Mama?
 
ni kweli na ndo mana mm sijasema nna matarajio makubwa au hatabadilika.
ni hizi ramli za watu wa humu mpaka nashangaa hivi watu hawawezi kuwa positive muda wote ni negativity tu
Yakitokea ni mipango ya Mungu na kwasababu nmechukua tahadhari basi ntajitahidi yasiwe makubwa
 
Hapo ndiyo walipotufikisha mama zetu wa zama hizi,
KUWA MAKINI USHAFIKISHA MIAKA 28 HAPO JUA LISHAANZA KUZAMA UKICHEZA ZAIDI YA HAPO JIANDAE KUWA SINGO MAMA,,,

KAMA ANATAKA MWENYE PESA YEYE BABA YAKO ALIMKUTA ANAZO?

TUNAISHI ZAMA NGUMU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…