KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Sawa we mpende tu mama ila uwe tayar kutoa tito huko mbeleni 😊wapi nmesema mlevi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa we mpende tu mama ila uwe tayar kutoa tito huko mbeleni 😊wapi nmesema mlevi?
Mkuu , Victory is not for fainted hearted,Sisifii ila nmeona vijana wengi sana wanavuta kwanzia huku Uswekeni kwetu mpaka Huko Mbezi beach/Masaki Vijana ambao hudhanii Wanavuta Bangi/sigara/Shisha pombe ndo wanachanganya Spirit/Gin/Whiskey nk Pombe na bangi sio nzuri ila Sio kitu cha ajabu kama mama angu anavyodhani kwenye jamii ya sasa
pia haitafaa kwenye maisha marefu ya ndoa ndio mana hata mimi naliangalia hilo kwasasa ila yeye ni hataki tu anaona hafai kabisa
Nmeuliza naona hujajibu! Pengine kuna mahala nmeandika mlevi sijaonaSawa we mpende tu mama ila uwe tayar kutoa tito huko mbeleni 😊
Mungu anisaidie kuchagua kilichochema.Mkuu , Victory is not for fainted hearted,
The end alywas justies the means , usije ukahukumu Mwanzo wa mtu yawezekana ni mvutaji na mlevi Ila Kesho mambo yakabadilika.🙏🏻
Me mwenyew nakukataza japo sikufahamuHabari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-Wote tumeishia 0- level kielimu
- Mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-Anataka kunioa pale nikiridhia
Sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-Ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- Aliwahi kuishi na mwanamke
-Anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- Hana mvuto mbele za watu
-Hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- Anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-Kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-Hana hadhi ya kuwa na mimi
Sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- Mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? Maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! Kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
Nimepata feeling mama yangu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
Maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? Nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
sawaamekwambia ameacha ulevi kirahis tu [emoji23][emoji23]
akesho kuoa uyo utaijui rangi yke halis na utakumbuka mama ako alichokwambia
Wabongo bana..mnawaza uchawi uchawi tu
Nina mashaka na elimu ulioitaja hapa.Habari za saa hii wana Jf

Habari za saa hii wana Jf

🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2633268
Pole sana mkuu
Mi mwenyw nimewaza kama weweUsikute mama yako aliwahi kutoka kimapenzi na huyo kijana au anataka kimapenzi hivyo anaweka ngumu ili isije gundulika jamaa kala kuku na kifaranga chake.
endelea kuvuta bangiwewe unaijua bangi zaidi sio, basi hongera kwa kutumia kitu ambacho hakileti choo
Fuata huu ushauri kama kweli una akilli. Mzazi ni mzazi aisee huyo sio mke mwenza anakuonea wivu.usimpuuze mama ana hoja,hasa kwenye kuvuta bangi na pombe kama ni kweli
we ni mmeruFuata huu ushauri kama kweli una akilli. Mzazi ni mzazi aisee huyo sio mke mwenza anakuonea wivu.
"Bangi + pombe = hamna familia ya hivo"
Mtafute huyo mke wa kwanza ana mengi ya kukushauri. Ila mama ya
Kwanini unahisi hivyo?Nina mashaka na elimu ulioitaja hapa.
Wewe bila shaka umesoma zaidi ya hiyo form four uliotuandikia hapa
Sawa nmeelewa mkuu ntalifanyia kaziPombe haiachwi kizembe hivyo.
BTW mlishashiriki tendo la ngono?
Sidhani kwakweliUsikute mama yako aliwahi kutoka kimapenzi na huyo kijana au anataka kimapenzi hivyo anaweka ngumu ili isije gundulika jamaa kala kuku na kifaranga chake.
Mi mwenyw nimewaza kama wewe