Mama hapendi mlima kuchezewa, Simba shusheni kibegi chenu

FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
FB_IMG_1682646137959 (2).jpg
 
Kibegi kiliuzwa 2.5m kahoji kama kipo kitengeneze ajira za watu wengine kukifuata. Ila kingeachwa siku ile ile kuna mtu angejizawadia
Sio kweli, lengo lake la kushusha kibegi halikuwa ajira bali kuondoa takataka mlimani. Kwani kile kibegi kinatatengenezaje ajira kama kikishushwa? Kuna watu watakipandisha tena mlimani kupeleka jezi hizihizi za msimu huu? Hata kingebaki huko huko mwaka kesho simngepeleka kingine chenye jezi mpya za msimu ujao na kuwa na vibegi 2 mlimani? Kifupi mama alitoa onyo kwa matumizi mabaya ya mlima wetu. Kibegi kupanda mlima kingekuwa na maana kama kibegi kingekuwa Cha timu kama Real Madrid, Man City, Man United, arsenal, nk sio kwa timu ya bunju kama hii ambayo Haina taji hata moja Wala medali.
 
Ficha sura yako mbali, na uwe unafuatilia mambo. Ajira ambayo ingetengenezwa ni kwa ambaye angepanda lazima angelipwa mshahara mnono, usafiri wa kumpeleka getini nako ni ajira pia hifadhi ingenufaika kwa kuwa angelipa malipo ya kuingia hifadhini. Narejea tena kibegi kingeachwa kule kisingekaa hata lisaa mtu angejizawadia
 
Funguka akili yako uweze kutafakari. Mama alijua kuwa kila mwaka Kuna uzinduzi wa jezi mpya, hivyo hata kama kibegi Cha masimu huu kingeachwa huko juu, msimu ujao kungekuwa na uzinduzi wa Jez mpya ambazo ndizo ambazo zingetoa ajira ya kuzioandisha huko sio hiki alichosema kishushwe. Hiki Cha Sasa hata kikishushwa hakiwezi kutoa ajira tena. Yeye alimaanisha hata vibegi kule mlimani.
 
Back
Top Bottom