Sio kweli, lengo lake la kushusha kibegi halikuwa ajira bali kuondoa takataka mlimani. Kwani kile kibegi kinatatengenezaje ajira kama kikishushwa? Kuna watu watakipandisha tena mlimani kupeleka jezi hizihizi za msimu huu? Hata kingebaki huko huko mwaka kesho simngepeleka kingine chenye jezi mpya za msimu ujao na kuwa na vibegi 2 mlimani? Kifupi mama alitoa onyo kwa matumizi mabaya ya mlima wetu. Kibegi kupanda mlima kingekuwa na maana kama kibegi kingekuwa Cha timu kama Real Madrid, Man City, Man United, arsenal, nk sio kwa timu ya bunju kama hii ambayo Haina taji hata moja Wala medali.