Mama hapendi mlima kuchezewa, Simba shusheni kibegi chenu

Acha kukaza ubongo, mwakani hatuendi huko, kibegi kishauzwa mjini hapo
 
Kielelezo Cha akili ndogo!
 
Rais Samia ameagiza kibegi Cha Simba kishushwe kama kiliachwa huko ili kuepuka kuwakanganya watalii.

Tusilete utani kwenye njia zetu kuu za uchumi. Watalii hawataelewa kukuta kibegi huko kileleni.
Kibegi kiko ghettoni kwa Salehe Madjapa Dj wetu wa ghetto enzi tunasoma IFM na kina Mchatta, Rahim na Bujibuji
 
Rais Samia ameagiza kibegi Cha Simba kishushwe kama kiliachwa huko ili kuepuka kuwakanganya watalii.

Tusilete utani kwenye njia zetu kuu za uchumi. Watalii hawataelewa kukuta kibegi huko kileleni.
Au zindiko la kiganga? Masimba machawi machawi sana
 
Kasema kama kiliachwa kule kifuatwe, mama hataki uchafu wa mazingira.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Alijua kuwa hata kikishushwa hakitatoa ajira kwa watu wengine kwakuwa hakitapandishwa tena mlimani, na kama kweli alikuwa anakifuatilia kibegi alikuwa anafahamu kuwa kimeshushwa na kupigwa mnada, ila alitumia njia nyingine kuwaambia kuwa hataki upuuzi kwenye mlima ambao ni chanzo Cha mapato.
 
Wewe ndiye mpuuzi kwani kibegi kimepigwa mnada juzi bado unang'ang'ania kipo mlimani ulikirudisha wewe?
Mpuuzi ni wewe ambae hujamwambia Rais kama ulikishusha na kukipiga mnada, kama ungemwambia asingetoa maagizo ya kushushwa kibegi na Wala asingeuliza kama kimeshushwa au la
 
Mpuuzi ni wewe ambae hujamwambia Rais kama ulikishusha na kukipiga mnada, kama ungemwambia asingetoa maagizo ya kushushwa kibegi na Wala asingeuliza kama kimeshushwa au la
Unadhihirisha upumbavu wako kubishania jambo la wazi kama hili la uwepo wa kibegi. Eti Rais ametoa agizo la kushushwa kibegi,hilo agizo umelisikia peke yako hata gongowazi wenzako hawajalisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…