Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe.
Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki.
Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio yameongezeka kwa kiwango cha kutisha.
Mama anataka aambiwe kwa style ipi aelewe na kuchukua hatua stahiki? Haiwezekani wanaoumizwa ndio eti kufanyike mkakati wa kuwafanya ndio wahusika.
View: https://youtu.be/Z2rm9DMYBho?si=eL-7DNAN1hBVAyft