Hii inaelekea ni ya zamani. Gwajima hawezi kuzungumza hivi sasa hivi. Ana clips zake za ngono ambazo Makonda amezishikilia.Kumekucha.
Mange kayasema haya.
Haisaidii hata angekuwa nazo, maana si ngeni kwa watanzania.Hii inalekea ni ya zamani. Gwajima hawezi kuzungumza hivi sasa hivi. Ana clips zake za ngono ambazo Makonda amezishikilia.
Mange ni reliable kwa mambo mengi sana. Yule dada ana connection nzuri sana na yupo vizuri kwenye kuchuja habari. Mtu ambaye amekuwa boya kabisa sasa hivi ni yule anayejiita Kigogo. Amegeuka chawa na mpiga porojo na propaganda za kijinga kabisa tofauti na wakati wa Magufuli.Huyu mange mnamwamini?
Na sijasema inasaidia bali nimesema Gwajima hathubutu kuwa critical namna hiyo sasa hivi. Nakuhakikishia akijaribu kufanya hivyo watamfungulia mashtaka ya kusambaza maudhui ya ngono. Hakuna kikundi chenye wahuni kama CCM.Haisaidii hata angekuwa nazo, maana si ngeni kwa watanzania.
Zitatazamwa zitawekwa pembeni litabaki swala la mauaji akilini mwao.
UmeelewekaNa sijasema inasaidia bali nimesema Gwajima hathubutu kuwa critical namna hiyo sasa hivi. Nakuhakikishia akijaribu kufanya hivyo watamfungulia mashtaka ya kusambaza maudhui ya ngono. Hakuna kikundi chenye wahuni kama CCM.
The rise of SKMGHuyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe.
Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki.
Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio yameongezeka kwa kiwango cha kutisha.
Mama anataka aambiwe kwa style ipi aelewe na kuchukua hatua stahiki? Haiwezekani wanaoumizwa ndio eti kufanyike mkakati wa kuwafanya ndio wahusika.
View: https://youtu.be/Z2rm9DMYBho?si=eL-7DNAN1hBVAyft
Acha makaburi yafukuliwe. Jinai ni Jinai tu hata miaka mingapi ipite.Hii inaelekea ni ya zamani. Gwajima hawezi kuzungumza hivi sasa hivi. Ana clips zake za ngono ambazo Makonda amezishikilia.