Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

Watanzania hatueleweki,alipojipoteza yeye wengi wetu tuliandika hashtag za #YukoWapMakondaWETU? leo tunamlaani vikali! By the way Siungi mkono masuala ya utekaji na Uzembe wa serikali ya SAMAKI.
 
Watanzania hatueleweki,alipojipoteza yeye wengi wetu tuliandika hashtag za #YukoWapMakondaWETU? leo tunamlaani vikali! By the way Siungi mkono masuala ya utekaji na Uzembe wa serikali ya SAMAKI.
Unashangaa! Ulimwenguni katika makundi yote wapo werevu na wajinga pia wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…