Mama Heche nina maradhi ya moyo, kwanini mwanangu anafichwa?

John Heche kachukuliwa na polisi, mchana kweupe, tena mbele ya macho ya watu; sasa kuna ugumu gani kumwambia tu huyu mama alipo mwanae.
Pana ugumu gani hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…