MAMA huruma hawezi sema NO, na kaolewa

MAMA huruma hawezi sema NO, na kaolewa

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
390
Reaction score
3
Huyu nae, mama wa watoto wawili, story zimezagaa mtaani, kaolewa na mme wake ni mtu
na maisha mazuri tu, ila katongozwa kidogo tu mzee wake kaenda mikoani kikazi anagawa,
tena watoto wakiwa shule anamtuma mtoto wa kazi soko la mbali na home kwake,
anajiachia hapo anatoa dudu, sijui ni ugonjwa,ngono bana, ila ukimwona mwanamke wa haiba ya aibu mno, nadhifu, mrembo, figa kali na adabu kwa mumewe, na si mapepe, ILA NI MAMA HURUMA, hadi namwonea na mm huruma, tena basi akiombwa tu kidogo akiwa mwenyewe, ukimshika shika tayari, UKIOLEWA au KUOA lazima tuache tabia hizi bana au ziwe siri saaaaaaaaaaaana. au anamatatizo?
 
duuh, huyo ni balaaaa...ni mama wa nyumbani? huenda hayuko bize ndio maana anapata muda mwingi wa kumegwa...
 
Mi nahisi MAMA HURUMA alimkataa

Wala bibie, mm siko TZ for 3 months now narudi Jan, ila huyu ni mama wa jirani pale Makumbusho Mwenge, ila mm wala simtaki she knows my GF sana tu, ubaya ni majirani wote wanajua si chini wa watu 5 nawajua wamemchakachua bure, na 3 kati ya hao wamemchakachulia kwake,
na hii ni kweli, na mbaya hata wanatembea nae wapo mitaa ya karibu they talk openly, wengine wameoa wengine 2 not yet, tabia hii hainipendezi hata kidogo.
 
Kwa hiyo ukieleza humu JF unamsaidiaje "mgonjwa" huyo?
 
Kwa hiyo ukieleza humu JF unamsaidiaje "mgonjwa" huyo?

Ni kwambie tu Buchanan najua anasoma sana hapa JF akiwa home kwake ila sijui kama
ni member, msg sent ataacha i hope, believe me anasoma sana JF
 
Wala bibie, mm siko TZ for 3 months now narudi Jan, ila huyu ni mama wa jirani pale Makumbusho Mwenge, ila mm wala simtaki she knows my GF sana tu, ubaya ni majirani wote wanajua si chini wa watu 5 nawajua wamemchakachua bure, na 3 kati ya hao wamemchakachulia kwake,
na hii ni kweli, na mbaya hata wanatembea nae wapo mitaa ya karibu they talk openly, wengine wameoa wengine 2 not yet, tabia hii hainipendezi hata kidogo.
Na nyie mnajua ni MKE wa mtu mnamfuatia nini??
 
Ni kwambie tu Buchanan najua anasoma sana hapa JF akiwa home kwake ila sijui kama
ni member, msg sent ataacha i hope, believe me anasoma sana JF

Unaonekana unapenda madongo!Kama unataka kumsaidia siumwambie badala yakumwandika na kujigamba unajua?
 
Dunia imefika mwisho wake, kuvaa Kanzu siyo kwamba unamjuwa Mungu.
people have to change.
Ushauri wa bure
 
ndoa bana! halaf pengine jibaba huko mikoani linajisifia kwamba waifu wake yuko honest. dah! na ubaya ni kwamba hii blood presha hata ukitumia condom utaipata tu. tumeangamia!
 
Unaonekana unapenda madongo!Kama unataka kumsaidia siumwambie badala yakumwandika na kujigamba unajua?

Lizzy do you think naweza kum face head on na kumweleza hili? hii si kwake tu hata wenye tabia hiyo wakisoma hapa wataacha bana, kumbuka sisi
few months tunakuja oa sasa sipendi hali hii
 
Lizzy do you think naweza kum face head on na kumweleza hili? hii si kwake tu hata wenye tabia hiyo wakisoma hapa wataacha bana, kumbuka sisi
few months tunakuja oa sasa sipendi hali hii

Sure!Kama unaweza kumchambua hapa mpe live...au mtumie ujumbe bila kujulikana unatoka kwako!
 
Ndoa, ndoa, ndoa, ndoa, ndoa, ndoa umeleta matatizo mengi! Wengine wamekuwa machizi, wengine vilema, wengine wamekufa, wengine presha n.k
 
Ndoa, ndoa, ndoa, ndoa, ndoa, ndoa umeleta matatizo mengi! Wengine wamekuwa machizi, wengine vilema, wengine wamekufa, wengine presha n.k

u know why? bcoz is where we all came from, matatizo ni mengi ktk ndoa Adam angekueleza angekuwa hai alirukaruka alipoletewa Hawa
pale Bustani ya Paradiso, siku kadhaa akashangaa Mungu akamwabia umekula tunda, utakula kwa jasho lako na mwanamke atazaa kwa uchungu
so Ndoa ichunge sana kama umeingia, but a funny thing most walio ingia wanataka kutoka ktk ndoa na ambao hawajaingia wanataka ingia. take care, ndoa yako iangalie with two eyes my friend
 
uwwiiii kwa kweli
mmmhh hii inatisha ..
kwa kweli naionea hiyo familia huruma..
maana ka ndo mama anafanya hivyo ..mmmhhh kwa kweli hii ni balaa...
 
huyo ana ugonjwa unaitwa BUPU hawezi kukaa siku nzima bila kuchapwa inabidi ajifukize na moshi wa kifuu huko chini ndio atapona (tiba mbadala)
 
kwanini umeileta apa jf?
tumsaidie?sasa anapitia jf?ushauri hataupata au utamfikishia fizikaly?
tutajadili apa bt muhusika walaaaaaaaaaaaaaaa hajui km anadadavuliwa apa
so...ahh sjui
 
Haka nika ugonjwa fulani, kanaitwa "Sex Addiction", Ukweli ni kwamba siku haiwezi pita bila huyo kuguswa! ni kama mvutaji sigara, utapata huyo mbibi anapenda familia yake sana, lakini anashindwa kujizuia!. Kumegwa sio ati anajribu kupata penzi huko nje, la !, wala sio ati kuna upungufu nyumbani, ni saikologikali problem.

Suluhisho, hili ni gonjwa na hakuna haja ya kulauminiana, ukihisi una haja sana ya ngono kupita kiasi, yaani siku ikipita huwezi, tafadhali jaribu kuona mtabibu, natumai tunao matabibu wa magonjwa kama haya!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom