Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.


Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea.... hapa Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

Pasco
 

Attachments

  • Samia-Arusha.mp4
    3.1 MB
Hahahahaha.

inategemea na mtazamo, inawezekana pia anayekupinga akawa ndio anayekusupport.

Watanzania wote tupo kusupport na kuijenga nchi yetu katika kila angle ambayo tumekaa ndio maana tunafanya kazi tunalipa kodi inreturn tunapaswa kuona matunda ya jasho letu na kodi zetu.

Mama anapaswa kujua yeye ni mtumishi wa umma, amepewa tools zote kuzitumia kuongoza umma na kuupeleka in right direction, hayuko pale kutupa favor sisi wananchi yupo pale kutumikia sisi wananchi.

Kauli hii inatofauti gani na ile inayosema, hakuna maendeleo jimboni kama mbunge ni upinzani.
 
Tunapaswa kujua kiongozi ni mtumishi wa umma, yupo kutumikia umma na kila analolifanya linapaswa kuwa na manufaa kwa umma.

Viongozi wetu wanaamini kuwepo kwenye nafasi ya utumishi wa umma basi ni favor tu kwa wananchi na unapaswa kutenda kadili unavyojisikia. Raia tunapaswa kuwa wakali kidogo juu ya hawa viongozi.
 
Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama,

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema , naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tuu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco
Niliwahi kukaa kwenye kikao fulani kisicho rasmi, kabla sijasema maudhui ya hicho kikao Nawomba Waukuma mwacheni mama .....Mwacheni kabisaaaaaaa....! Baada ya kusema hayo, hicho unachokiona kwa mama kwa mbali naomba usikiseme milele
 
Viongozi wetu huwa wanadhani kufanya mambo fulani ni favor na wanaweza fanya wakitaka na kama hawataki kufanya hawafanyi.
Na wananchi walio wengi wanaamini raisi akifanya jambo ni amewapa favor.
 
Back
Top Bottom