mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwani. Kumpenda MTU ni lazima?I have already understood your comment, that's why i criticize you!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani. Kumpenda MTU ni lazima?I have already understood your comment, that's why i criticize you!!
Hata kama si lazima huwezi mhukumu mtu, wakati undani wanaujua wao wawiliKwani. Kumpenda MTU ni lazima?
Sasa Kama. Ndiku. Alikuwa anampenda Irene. Lakini Irene hakumpenda ndiku.Hata kama si lazima huwezi mhukumu mtu, wakati undani wanaujua wao wawili
Una hakika kilichomuua ndikumana na stress za kumkosa IreneSasa Kama. Ndiku. Alikuwa anampenda Irene. Lakini Irene hakumpenda ndiku.
Hii Hali ikapelekea ndiku kupata matatizo hayo. Yaliyosabisha kifo chake. Kama watu wanavyoamini.
Kosa la aliyependa. Au aliyependwa?
Kumbe wewe. Haukuisoma Ile comment vizuri.Una hakika kilichomuua ndikumana na stress za kumkosa Irene
Warumi ulitaka mama aite waandishi wa habari ndio ujue alikemea?Wewe acha umbea, ndiku alikua na ukaribu sana na mama uwoya, hata kwenye page ya ndiku alikua anampost sana mama wema na kumshukuru kwa kumpa moyo na kumfariji, huyo mama hana unafiki, walikua karibu sana na mama uwoya
Nimeisoma vizuri ila yawezekana ulichokiandika sicho ulichodhamiriaKumbe wewe. Haukuisoma Ile comment vizuri.
Ana nyodoo yani pale kama kivuli tu ile business yule msingi kiuno mbonaa
Unamkumbuka papa musofe?ntakupa stori yake nasahihisha kwanza
Wa UPEHahahaaa kumbe wewe mwalimu [emoji23]
MeHuyo mdogo wake ni wa kike au kiume mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bibi yule aliombwa game akapanda dau 10mils ila bongo bahati bahati mbaya kidate Mombasa wakaset dealPapa msofe albino?...
Ndiyo namjua hebu maliza kusahihisha madam Gen nakusubiria!