Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

Hata kama si lazima huwezi mhukumu mtu, wakati undani wanaujua wao wawili
Sasa Kama. Ndiku. Alikuwa anampenda Irene. Lakini Irene hakumpenda ndiku.
Hii Hali ikapelekea ndiku kupata matatizo hayo. Yaliyosabisha kifo chake. Kama watu wanavyoamini.
Kosa la aliyependa. Au aliyependwa?
 
Sasa Kama. Ndiku. Alikuwa anampenda Irene. Lakini Irene hakumpenda ndiku.
Hii Hali ikapelekea ndiku kupata matatizo hayo. Yaliyosabisha kifo chake. Kama watu wanavyoamini.
Kosa la aliyependa. Au aliyependwa?
Una hakika kilichomuua ndikumana na stress za kumkosa Irene
 
Nahisi walikuwa wanadate hawa mtu na mkwewe haiwezekani uwoya asilie alie mama mkwe
 
Reactions: ovi
Wewe acha umbea, ndiku alikua na ukaribu sana na mama uwoya, hata kwenye page ya ndiku alikua anampost sana mama wema na kumshukuru kwa kumpa moyo na kumfariji, huyo mama hana unafiki, walikua karibu sana na mama uwoya
Warumi ulitaka mama aite waandishi wa habari ndio ujue alikemea?
Mbona tunakimbilia kuhukumu? Muhusika Mkuu ambaye ni marehemu anadhibitisha hilo kw namna walivyo endelea kushirikia na nk.
 
Ni mtu mzima anajua nini Maisha ya Kulea mtoto bila baba yanachangamoto Sana. Hata kama unauwezo!! anamuonea huruma mwanae na mjukuu wake pia.
 
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE MAREHEMU NDIKUMANA NA MAREHEMU WOTE WAPATE REHEMA KWAKO NA WAPUMZIKE KWA AMANI...AMEN
 
Papa msofe albino?...
Ndiyo namjua hebu maliza kusahihisha madam Gen nakusubiria!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bibi yule aliombwa game akapanda dau 10mils ila bongo bahati bahati mbaya kidate Mombasa wakaset deal
On the due date they went there wakafika hotelini bibi kaingia na musofe nae akaingia akampa mzigo cash kwenye briefcase akaliwa uroda vzrii Mara paaaap!!!wanaume wakaingizana wakasalola(kuiba)briefcase yoote wakaondoka nayo[emoji2] [emoji2] [emoji2] ....so ikala kwake akaambulia nauli tu!
Kufika mjini papaaa musofe anajitapa kala mzigo bureeee na wale wahuni aliwatuma yeye[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…