chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.