konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa wapenzi na washabiki wa mama.
Binafsi pia nimekuwa mshabiki na mpenzi wa mama. Naomba mnielekeze utaratibu wa kuwa mwanachama wa CCM. Nilikuwa na mpango wa kugombea urais 2025 lakini nasema mama anatosha. Nitampa tu madesa yangu ayafanyie kazi kama itampendeza. Nataka nimuunge mkono mama kwa vitendo. Tanzania yenye furaha italetwa na mama. Nani kama mama? Mama ukimzingua mnazinguana.