Mama kabadili upepo. CCM wamegeuka wapinzani wa mama, na wapinzani wamegeuka kuwa wafuasi wa mama

 
Wee ndio taga wahedi, taga mayai basi tukuone?
 
Upumbavu mtupu....tena kwa ujinga ulioandika kwa vyovyote utakuwa shabiki wa simba
 
Kitu nimegundua CCM wengi hawapendi haki. Wanapenda dhulma na chuki.
 
Mataga ambacho hawajui mama ana Siri zote jinsi iliyokuwa shida uchafuzi WA 2020.Mama amebalishwa na Tabia ngumu ya Jiwe, amekuwa akiona chuki, uonezi ,mauaji Kwa miaka mitano na Kwa hulka yake ameamua yeye japo ana madaraka nguvu kikatiba hawezi kufanya hivyo. Tabia ya Jiwe ingekuwa haina shida mama angaiendeleza.
Hivi Mama kawakosea nini Mataga??
 
JK alianza hivyo hivyo mwishowe akaitwa dhaifu akaleta mafisadi nchini na kutaka kukiua chama
 
Mama kawakaba roba ya maana, wanajamba TU ovyo ovyo[emoji1][emoji116]
 
Mimi CDM kindaki namshukuru Mungu mkuu kwa kutupatia huyu mama, tuliumizwa mno siku zilizopita.
 
unafiki ni sehemu ya utamaduni kwa siasa za kiafrika, umakini unahitajika kuwasikiliza wanasiasa wanapokuwa majukwaani. Wako kama bendera na upepo
 
Vipi ushaanza kumpeleka maombi ya kurudi Yanga? Urudi kwenye nafasi yako ya msemaji uchwara wa timu ya wananchi.
 
Kumbuka mama nae alikuwa timu hiyo hiyo ya JPM na ndie alikuwa msaidizi wake mkuu, ila du hata Hapa Kazi Tu kwaheri na sasa ni Kazi Inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…