Mama kaniambia Atanipa Mwali

Mama kaniambia Atanipa Mwali

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
[emoji133][emoji133]mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawila[emoji133]?

?mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawila[emoji133][emoji133]inawene makandawila[emoji133][emoji133]

inawene makandawila inawenee[emoji133][emoji133]kachiriii kachiri [emoji133]saga[emoji133]kachiri leo kachiri saga[emoji133]mke wangu kasafiri[emoji133]

kaniachania kigoma[emoji133]saga[emoji133]na mtindo wa hariri[emoji133]sana kaniachia corola[emoji133]na kidani cha dhahabu[emoji133]kachiri saga kachiri sagaaaa[emoji133]

Enzi zetu izo Miaka Iyo kipndi hicho Dogo Hujazaliwa

Daaaaaaahhh raha sana
 
Yaaani sijaelewa hata neno moja
Mkuu hebu tueleze lugha ya kueleweka
 
Back
Top Bottom