Hapa ndio hukumu uliposomewa na Mchumba kilizi."basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie."
Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa kumuambia kuhusu mambo ya ndoa kwani alikua hayuko sawa kiakili kabsia.
Ilinibidi kunyamaza, lakini nyumbani walikua wnanipigia kelele sana, ilifikia kipindi mpaka Mama akanitafutia mwanaume kwakua tu alikua anahitaji mjukuu, basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie. Lakini nilijikuta namchukia tu kutokana na tabia zake na kwakua bado nilikua nampenda mwanaume wangu niliamua kumpotezea.
Mwezi wa 8 mwanaume wangu alirudi kazini, akawa sawa na kuniambia kuongea na nyumbani kuhusu ndoa, kweli nilifanya hivyo, lakini kabla hawajaja kwetu kuna siku akakuta meseji zangu na yule mwanaume, zilikua meseji za zamani wakati Mama aaniunganisha naye, nilijua nishazifuta lakini sijui nini kilitokea basi nikawa sina namna zaidi ya kumuambia ukweli.
Nikamuambia kuwa nyumbani walinitafutia mwanaume lakini baada ya kuongea naye mimi nilimkataa, aliniuliza inamaana ungemnkuta ni mzuri ungeenda kuolewa naye, nilibaki kimya, tuligombana sana, aliumia sana alikua mpaka analia kwa hasira mwisho akaniambia hahitaji tena kunioa kwani kama tatizo kidogo tu nimetaka kumaucha vipi tukiingia kwenye ndoa.
Kakatisha kila kitu, kachukua kila kitu chake na kunirudishia kila kitu changu, nimejaribu kumuomba msamaha, nimetumia rafiki zake lakini wapi. Naumia sana kwani tulikua vizuri sana, ananijali, ananihudumia yaani kila kitu kilikua sawa lakini sasa hivi hawezi kuwa na mimi, naomba ushauri wako sijui nifanye nini Kaka kumrudisha kwani nampenda sana nilionana na huyo mwanaume mwingine kwaajili ya Mama tu.
Acha kumfariji mwenzako πJana Kuna mbibi kazaliwa 2000 tulikua nae mkesha na yy anajiona mdogoKumbe ni nani?πππ
Huyo βchildrenβ kabisa.
Nicheki nikusaidie kitu chap in boxMama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa kumuambia kuhusu mambo ya ndoa kwani alikua hayuko sawa kiakili kabsia.
Ilinibidi kunyamaza, lakini nyumbani walikua wnanipigia kelele sana, ilifikia kipindi mpaka Mama akanitafutia mwanaume kwakua tu alikua anahitaji mjukuu, basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie. Lakini nilijikuta namchukia tu kutokana na tabia zake na kwakua bado nilikua nampenda mwanaume wangu niliamua kumpotezea.
Mwezi wa 8 mwanaume wangu alirudi kazini, akawa sawa na kuniambia kuongea na nyumbani kuhusu ndoa, kweli nilifanya hivyo, lakini kabla hawajaja kwetu kuna siku akakuta meseji zangu na yule mwanaume, zilikua meseji za zamani wakati Mama aaniunganisha naye, nilijua nishazifuta lakini sijui nini kilitokea basi nikawa sina namna zaidi ya kumuambia ukweli.
Nikamuambia kuwa nyumbani walinitafutia mwanaume lakini baada ya kuongea naye mimi nilimkataa, aliniuliza inamaana ungemnkuta ni mzuri ungeenda kuolewa naye, nilibaki kimya, tuligombana sana, aliumia sana alikua mpaka analia kwa hasira mwisho akaniambia hahitaji tena kunioa kwani kama tatizo kidogo tu nimetaka kumaucha vipi tukiingia kwenye ndoa.
Kakatisha kila kitu, kachukua kila kitu chake na kunirudishia kila kitu changu, nimejaribu kumuomba msamaha, nimetumia rafiki zake lakini wapi. Naumia sana kwani tulikua vizuri sana, ananijali, ananihudumia yaani kila kitu kilikua sawa lakini sasa hivi hawezi kuwa na mimi, naomba ushauri wako sijui nifanye nini Kaka kumrudisha kwani nampenda sana nilionana na huyo mwanaume mwingine kwaajili ya Mama tu.
Usikute jamaa alikuwa anapiga pia maana si rahisi sms za zamani jamaa azikute na kuna mengi hajayaeleza juu ya jamaa kumpiga chini.Ulitaka kumsaliti kwa sababu ya mama. Yaani ungekumta huyo yuko vizuri huyu wa zamani ni kweli ungemuacha.
Hehehehheh wa elfu mbili tayari wameshakuwa wabibi??Acha kumfariji mwenzako πJana Kuna mbibi kazaliwa 2000 tulikua nae mkesha na yy anajiona mdogo
Muda sio rafikiHehehehheh wa elfu mbili tayari wameshakuwa wabibi??
Duu sawa kitukuu changu.Muda sio rafiki
Sema Mume sio kitukuu πunaniita kitukuu na wakati nimenunua sabuni kwenye maduka ya ujamaaaDuu sawa kitukuu changu.
Toka ukiwa na miaka 23,jamaa anankutom.ba tu,duuuuh!!Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa kumuambia kuhusu mambo ya ndoa kwani alikua hayuko sawa kiakili kabsia.
Ilinibidi kunyamaza, lakini nyumbani walikua wnanipigia kelele sana, ilifikia kipindi mpaka Mama akanitafutia mwanaume kwakua tu alikua anahitaji mjukuu, basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie. Lakini nilijikuta namchukia tu kutokana na tabia zake na kwakua bado nilikua nampenda mwanaume wangu niliamua kumpotezea.
Mwezi wa 8 mwanaume wangu alirudi kazini, akawa sawa na kuniambia kuongea na nyumbani kuhusu ndoa, kweli nilifanya hivyo, lakini kabla hawajaja kwetu kuna siku akakuta meseji zangu na yule mwanaume, zilikua meseji za zamani wakati Mama aaniunganisha naye, nilijua nishazifuta lakini sijui nini kilitokea basi nikawa sina namna zaidi ya kumuambia ukweli.
Nikamuambia kuwa nyumbani walinitafutia mwanaume lakini baada ya kuongea naye mimi nilimkataa, aliniuliza inamaana ungemnkuta ni mzuri ungeenda kuolewa naye, nilibaki kimya, tuligombana sana, aliumia sana alikua mpaka analia kwa hasira mwisho akaniambia hahitaji tena kunioa kwani kama tatizo kidogo tu nimetaka kumaucha vipi tukiingia kwenye ndoa.
Kakatisha kila kitu, kachukua kila kitu chake na kunirudishia kila kitu changu, nimejaribu kumuomba msamaha, nimetumia rafiki zake lakini wapi. Naumia sana kwani tulikua vizuri sana, ananijali, ananihudumia yaani kila kitu kilikua sawa lakini sasa hivi hawezi kuwa na mimi, naomba ushauri wako sijui nifanye nini Kaka kumrudisha kwani nampenda sana nilionana na huyo mwanaume mwingine kwaajili ya Mama tu.
Mimi nimezeeka zaidi yako ujueeSema Mume sio kitukuu πunaniita kitukuu na wakati nimenunua sabuni kwenye maduka ya ujamaaa
Tupo sawaMimi nimezeeka zaidi yako ujuee
π₯²π₯² kwahiyo miaka 30 ni dk za jiiiooniii????Miaka 30 ni binti? Kama ni wako wako tu kama sio fungu lako hata uforce vipi hamtaoana
Jua limezama...dkk flan hivi za lala salamaπ₯²π₯² kwahiyo miaka 30 ni dk za jiiiooniii????
Duuuh hatari sana π€£π€£, nilijua 30 ni binti mbichi kabisaaJua limezama...dkk flan hivi za lala salama
Cheketu cheketu mahepeee,mtoto akilia mleteeee unaimanya hii?Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa kumuambia kuhusu mambo ya ndoa kwani alikua hayuko sawa kiakili kabsia.
Ilinibidi kunyamaza, lakini nyumbani walikua wnanipigia kelele sana, ilifikia kipindi mpaka Mama akanitafutia mwanaume kwakua tu alikua anahitaji mjukuu, basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie. Lakini nilijikuta namchukia tu kutokana na tabia zake na kwakua bado nilikua nampenda mwanaume wangu niliamua kumpotezea.
Mwezi wa 8 mwanaume wangu alirudi kazini, akawa sawa na kuniambia kuongea na nyumbani kuhusu ndoa, kweli nilifanya hivyo, lakini kabla hawajaja kwetu kuna siku akakuta meseji zangu na yule mwanaume, zilikua meseji za zamani wakati Mama aaniunganisha naye, nilijua nishazifuta lakini sijui nini kilitokea basi nikawa sina namna zaidi ya kumuambia ukweli.
Nikamuambia kuwa nyumbani walinitafutia mwanaume lakini baada ya kuongea naye mimi nilimkataa, aliniuliza inamaana ungemnkuta ni mzuri ungeenda kuolewa naye, nilibaki kimya, tuligombana sana, aliumia sana alikua mpaka analia kwa hasira mwisho akaniambia hahitaji tena kunioa kwani kama tatizo kidogo tu nimetaka kumaucha vipi tukiingia kwenye ndoa.
Kakatisha kila kitu, kachukua kila kitu chake na kunirudishia kila kitu changu, nimejaribu kumuomba msamaha, nimetumia rafiki zake lakini wapi. Naumia sana kwani tulikua vizuri sana, ananijali, ananihudumia yaani kila kitu kilikua sawa lakini sasa hivi hawezi kuwa na mimi, naomba ushauri wako sijui nifanye nini Kaka kumrudisha kwani nampenda sana nilionana na huyo mwanaume mwingine kwaajili ya Mama tu.
Ni bintj wa makamo π π ππ₯²π₯² kwahiyo miaka 30 ni dk za jiiiooniii????