Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
We makengo wewe πKaka
Kwanza Pole! Naelewa hali unayopitia kwa Sasa. Nakuombea neema ya Mungu iwe juu yako na kukulinda..Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu!
Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa kumuambia kuhusu mambo ya ndoa kwani alikua hayuko sawa kiakili kabsia.
Ilinibidi kunyamaza, lakini nyumbani walikua wnanipigia kelele sana, ilifikia kipindi mpaka Mama akanitafutia mwanaume kwakua tu alikua anahitaji mjukuu, basi kuna siku nilienda kuonana na huyo mwanaume, tukabaidlishana namba ili tu nimuangalie. Lakini nilijikuta namchukia tu kutokana na tabia zake na kwakua bado nilikua nampenda mwanaume wangu niliamua kumpotezea.
Mwezi wa 8 mwanaume wangu alirudi kazini, akawa sawa na kuniambia kuongea na nyumbani kuhusu ndoa, kweli nilifanya hivyo, lakini kabla hawajaja kwetu kuna siku akakuta meseji zangu na yule mwanaume, zilikua meseji za zamani wakati Mama aaniunganisha naye, nilijua nishazifuta lakini sijui nini kilitokea basi nikawa sina namna zaidi ya kumuambia ukweli.
Nikamuambia kuwa nyumbani walinitafutia mwanaume lakini baada ya kuongea naye mimi nilimkataa, aliniuliza inamaana ungemnkuta ni mzuri ungeenda kuolewa naye, nilibaki kimya, tuligombana sana, aliumia sana alikua mpaka analia kwa hasira mwisho akaniambia hahitaji tena kunioa kwani kama tatizo kidogo tu nimetaka kumaucha vipi tukiingia kwenye ndoa.
Kakatisha kila kitu, kachukua kila kitu chake na kunirudishia kila kitu changu, nimejaribu kumuomba msamaha, nimetumia rafiki zake lakini wapi. Naumia sana kwani tulikua vizuri sana, ananijali, ananihudumia yaani kila kitu kilikua sawa lakini sasa hivi hawezi kuwa na mimi, naomba ushauri wako sijui nifanye nini Kaka kumrudisha kwani nampenda sana nilionana na huyo mwanaume mwingine kwaajili ya Mama tu.
Ni binti mbichi kabisaa, yaan kama time ni saa 5 asubuhi πππNi bintj wa makamo π π π
Kabibi katarajiwaNi binti mbichi kabisaa, yaan kama time ni saa 5 asubuhi πππ
πππ story zake zimezidi viungo πWe makengo wewe π
πππsiyo mshangazi tenaKabibi katarajiwa
Mdada wa umri huo kama ndo umekutana nae ukaamua kuwa nae unamdate Kwa tahadhari kubwa na baadhi ya vitu inabidi uvumilie maana ni ngumu kubadilika tofauti na binti wa miaka 18-23 ambae kichwa chake bado hakina mambo mengi unaweza fanya inducement ya falsafa zako akawa aina ya mke unayemtakaDuuuh hatari sana π€£π€£, nilijua 30 ni binti mbichi kabisaa
Ni chai iliyochanganywa na uji wa msibani ππππ story zake zimezidi viungo π
Hahaha π sawa mzee wa kumtengeneza future wife, 30 yrs ni mshangazi stage 1 siyo?Mdada wa umri huo kama ndo umekutana nae ukaamua kuwa nae unamdate Kwa tahadhari kubwa na baadhi ya vitu inabidi uvumilie maana ni ngumu kubadilika tofauti na binti wa miaka 18-23 ambae kichwa chake bado hakina mambo mengi unaweza fanya inducement ya falsafa zako akawa aina ya mke unayemtaka
Na viungo vya pilau ndani yake ππNi chai iliyochanganywa na uji wa msibani π
Mshangazi ni kipato na muonekanoπsiyo umriHahaha π sawa mzee wa kumtengeneza future wife, 30 yrs ni mshangazi stage 1 siyo?
Mnampenda wenyeweNa viungo vya pilau ndani yake ππ
Wacha weee!! kwahiyo kama huna pesa ni kabibi kalikochangamka π₯²?Mshangazi ni kipato na muonekanoπsiyo umri
π utatuambia nini tukuelewe? tupo na Makengo mpaka mtuvunje taya ππMnampenda wenyewe
πππUnakua bibi mkoloniWacha weee!! kwahiyo kama huna pesa ni kabibi kalikochangamka π₯²?
Daaah ππππππUnakua bibi mkoloni
Anawapoteza huyoπ utatuambia nini tukuelewe? tupo na Makengo mpaka mtuvunje taya ππ
Kuzaa na kulea watoto??? Hiyo sio kazi ???Kila mwanamke anataka wa kumhudumia ila wao hawana cha kuhudumia zaidi ya uchi na kuosha vyombo
Unadhani hatuoni ππ ni vile tumeshupaza shingoAnawapoteza huyo