Mama kanikimbizia mchumba wangu

Lete namba yako PM nikuunganishe naye hana shida
 
Hili Dume lipuuzi sana! Linajifanya jike!

Juzi liliandika

 
Naweza kupata namba za mama yako?
 
Mama yako hana kosa sababu wewe ndiye uliyeonyesha kupoteza mwelekeo, ndiyo maana alilazimika kuingilia ili kukusaidia wajibu uliokushinda.

Kwa kipindi fulani, hata kwa kipindi kifupi sana, huyo uliyetafutiwa ni kama mlikuwa kwenye mahusiano kabla haujaona kuwa haumkubali, ndiyo maana huyu jamaa yako mwingine ulimficha hivyo hakuwahi kujua chochote. So ulikwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.

Mpaka hapo wanawake mtakaporudiwa ni zile old fashioned feelings za kwamba sehemu za siri zinapaswa kuwa za siri hasa, na siyo kuwa kama mikono kwamba ili kusalimiana ni lazima mshikane, kwamba sehemu zenu za siri ni mtaji pia silaha, basi mpaka wakati huo endeleeni kupitia chochote mnachokipitie sababu mmekichagua
 
Ninachojua kwakuwa mahusiano ni swala la vile unauona uzuri na ubaya wa mtu basi yanabaki kuwa ni ya wawili, once ukichukua ushauri kwa mtu wa tatu tayari umekaribisha tatizo.

Sababu kila mtu ana mtazamo wake wa jambo tofauti na vile unaona wewe
 


Uchumba miaka 7 na una miaka 30 sasa hivi, huyo ni mchumba au jini, jamani kuweni makini na binadamu mnaokutana nao, namuunga mkono Mama yako, kaona mbali sana, uchumba wa miaka 7 kwani una ahadi na Mwenyezi Mungu unamsubiria miaka yote hiyo? Acha utoto wewe..!!
 
Karibu kwa mwamposa, ujiunge na grid ya taifa ya kusaka mchumba mwingine
 
usihofu hiyo sio riziki yako,msahau songa mbele Mungu atamleta mumeo wako soon
 
Ukiona mwanamke anamsifia mwanaume wake kuwa anamapenzi ya kweli kigezo nambari Moja ni...
ANANIHUDUMIA
Aseee wanaumeeeeee hiki ndicho kigezo cha wanawake siku izi ni HUDUMAAAAAA TU ndio utajulikana unamapenzi ya kweli yaan wew jari , hurumia, jipinde kwa maudambwi ila kikubwa HUDUMIAAAA ,ukifeli hapa ........
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…