Mama kanikimbizia mchumba wangu

Just let that man go...u dnt deserve him and he dont deserve u.
Miaka saba bado anakudinya tuu bila kukuoa. Loh! Wanawake kweli ndoa muhimu but atleast know wen to draw the line.
Let him go.... By Ivonne Chaka Chaka
 
Mwili na sio akil na muda

Na wew hamnazo kwann cc miili yenu ya nn
 
Wewe siyo muwazi, hizo meseji ulizokamatwa nazo hazikuwa za kawaida, ni wazi mlikuwa mkiwasiliana na Bwana'ko mpya na alishakukaza so kwa hilo namuunga mkono msela ajichekeche tu. Malaya haolewi.
Kwanza ndoa ni upumbavu.
#KATAANDOA
 
Kwani si ameumbwa azae na kulea? Hilo ni kosa la nani sasa? Amlaumu Mungu wake kwa kumpa uwezo huo wa kuzaa na kulea na wala hiyo siyo hisani ni wajibu wake wa asili.
 
Haikuwa riziki yako binti,fanya mpango tu wa kumsahau utapata akupendae
 
Hujaeleza kama huyo mwanaume ulotafutiwa na mamako alikudinya? kama alikudinya ni haki Mwamba kusepa
 
Mwanamke wa miaka 30 bado ni binti ?
 
Sawa mmeonana na huyo mwanaume mwingine, ndo mpaka mna kiss aahgh!! Hapana adse
 
Kama haikupangwa usilazimishe. Huenda ni mpango wa Mungu.
 

Umefeli kidooogo ya kidunchuuu,Yaan ilikua hiviii🤏🏾 uolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…