mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
"Relief" kitu gani!issue kama hiyo mi ningemwachia tu Mungu ahukumu mwenyewe.het "nashukukuru mungu haki imetendeka"Haki gani na Mungu yupi!!Relief..hata kama marehemu harudi....acheni double standards
Bila kukusudia kama hiyo ya Kanumba. Na hakuna anayefurahia. Ndiyo anayeshitaki ni Jamhuri sio mama Kanumba. Jamhuri lazima iweke order!Inategemea watauwawa vip man.mtu kaua bila kukusudia mnafurahia kupigwa miaka miwil yoote ndani!
Looh bora umenistua nikipita kule nitakua nafuata sheriahahaha amenichekesha ivugakasema kipind anamtongiza inna kuna mod alikua naye anamfukuzia inna yaan nimecheka sana !yeah naskia juklwaa la siasa wako strictly !lakini nashangaa wanaachia matusi !mxiew
Mimi wala mahakamani sitaenda ntamwachia Mungu mwenyewe.Rejea kichwa cha hii thread."mama kanumba afurahia......."Bila kukusudia kama hiyo ya Kanumba. Na hakuna anayefurahia. Ndiyo anayeshitaki ni Jamhuri sio mama Kanumba. Jamhuri lazima iweke order!
Looh bora umenistua nikipita kule nitakua nafuata sheria
Inasaidia kiroho na si zaidi. Kumbuka mkasa kama huo (kama kweli hakukusudia kuua) unaweza kumtokea binadamu yoyote yule. Lakini kwasababu sheria zipo basi ni lazima sifatwe.Inasaidia sana tu.
Wengi watajifunza kutokana na hukumu hii na Lulu pia atajifunza na kujirekebisha. Pia mama, ndugu, rafiki na mashabiki wa marehemu kanumba hii ni faraja kwao kuona kuwa uhai wa kipenzi chao umethaminika.
Inaonekana hujui nini maana ya haki kwenye sheria!!!usingeweza sema hivyomasikini!hata haisaidii
Inaonekana hujui nini maana ya haki kwenye sheria!!!usingeweza sema hivyo
Kwahiyo muuaji akiachwa huru ndo sitapata hasara!!?Inasaidia kiroho na si zaidi. Kumbuka mkasa kama huo (kama kweli hakukusudia kuua) unaweza kumtokea binadamu yoyote yule. Lakini kwasababu sheria zipo basi ni lazima sifatwe.
.
.
Mtu ameua mtoto wako hlf akafungwa miaka miwili baada ya hapo anadunda mtaani nani mwenye hasara zaidi? Aliyepoteza mtoto au ambae mtoto wake yu hai na anamuona hata kama hana uhuru?
Uhai ni uhai tu.
Sipati faida yoyote,kilichonifikirisha anapata faida gani hadi afurahie!soma kichwa cha huu uzi.Wewe lulu kuwa mtaani unapata faida gani
Mimi simtetei lulu. Ndio maana nikasema sheria zipo kwaajili ya situations km hiyo. Pia napongeza hiyo hukumu maana imetenda haki. Lakini hakuna kitakachobadilisha kuwa kanumba alishakufa na lulu yupo hai.Kwahiyo muuaji akiachwa huru ndo sitapata hasara!!?
Hukumu ya namna hii inaangalia pande zote (mtuhumiwa na jamii)
Kama wauaji wangekuwa wanaachwa basi huenda hata leo hii usingepata nafasi ya kuquote comments zangu maana hatuna uhakika kama maadui zako wangekuacha salama.
Jamii inajifunza kutokana na hukumu kama hizi na kujenga hofu ya kutokutenda kosa kama hilo.
Ila duuh....jaji ni noma, lulu kasukumiziwa mambo kibao, tabia mbaya yy, utovu wa nidhamu, tabia mbaya kwenye jamii, utukutu, umalaya, malezi mabovu kutoka kwa wazazi wake....yaan full misala yote imemuangukia!Jaji kasema kabinti kalikua kakomavu kukurupukia mambo ya wakubwa.
na mali zote urithi katafunaLulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
inamsaidia kisaikolojia hata lulu kuna siku atakufa nayeMiaka miwili si mingi tutamuona lulu yuko free. Maskini kanumba ndo alishaoza. Haisaidii kwa kweli..
Kuna comment nimesema inamsaidia kiroho zaidi. So tuko pamojainamsaidia kisaikolojia hata lulu kuna siku atakufa naye
Hapana kwake inamsaidia sana kihisia.kitaalamu amekuwa kwenye grieving process kwa muda mrefu mno.sasa ni kusema atafika mwisho.masikini!hata haisaidii