ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Hujui jela kukivyo,nakuombea uje upelekwe ukakae kule miezi sita tu halafu uje utoe ripoti kama umefungwa muda mfupi au laah!Miaka miwili siyo mingi atatoka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui jela kukivyo,nakuombea uje upelekwe ukakae kule miezi sita tu halafu uje utoe ripoti kama umefungwa muda mfupi au laah!Miaka miwili siyo mingi atatoka tu
Wewe lulu kuwa mtaani unapata faida ganiLulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Wewe dada yako au mama yako akibakwa kwanini unakimbilia polisi then mahakamani!!? Kwani ukimshtaki ndo mama yako atakuwa hajabakwa!? Kumbuka haki huponya. Acha mama Kanumba na wapenzi/mashabiki wa Marehemu Kanumba wapoze maumivu kwakuona haki imetendeka japo si kwa kiwango kilichotegemewa.Lulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Itumike kama sheria tuu as a "precedence law" hakuna namna.Mawakili watakua wanatumia case study hii case,watakua wanasema kama Lulu aliua na akala mvua mbili tu,kwa nini asiwe mteja wangu??
Inasaidia sana tu.Miaka miwili si mingi tutamuona lulu yuko free. Maskini kanumba ndo alishaoza. Haisaidii kwa kweli..
Karibu tena....ulifanya nn mpaka wakakupa ban?
Kubaka na kuua bila kukusudia ni sawa?Wewe dada yako au mama yako akibakwa kwanini unakimbilia polisi then mahakamani!!? Kwani ukimshtaki ndo mama yako atakuwa hajabakwa!? Kumbuka haki huponya. Acha mama Kanumba na wapenzi/mashabiki wa Marehemu Kanumba wapoze maumivu kwakuona haki imetendeka japo si kwa kiwango kilichotegemewa.
Lulu ni kama amesamehewa tu maana adhabu iliyotolewa hailingani hata chembe na uzito wa kosa (kuua bila kukusudia)
Ha ha ha yaani kuchat nje ya mada ndiyo upewe ban? Mods kuna muda wana vituko[emoji3][emoji3]ulikua uzi wa dk slaa kupata kazi supermarkt ndo saint ivuga akaanza kama kunitupia ndoano bas ikawa km kamchezo !hapo nikawa namkwot mkewe inna !nakuja log in naambia nimepost kitu nje ya mada jukwaa la siasa nikakumbuka ni mitongozo ya huyo dogo Saint Ivuga !lol !sitak tena anitongoze aiseee heheheh!maana tulichat haswa tukiwa wa3 mm ivuga na inna !inaa anampaka ivuga anajipa flag haha
Hiyo inaitwa funika kombe mwanaharamu apite. Ila sio haki na wala sio sheria.Haki haijatendeka kabisa sidhani kwa mujibu wa sheria za Tanzania kuua bila kukusudia ni chini ya miaka 30.
Ha ha ha yaani kuchat nje ya mada ndiyo upewe ban? Mods kuna muda wana vituko[emoji3][emoji3]
Inategemea watauwawa vip man.mtu kaua bila kukusudia mnafurahia kupigwa miaka miwil yoote ndani!Subiri auwawe ndugu yako ndiyo ujue kama kumfunga muuaji Kuna faida au la!
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
Wengi tunacomment kwa kutokuwa na ufahamu wa haya mambo.The truth can't unchanged, huyo mama ameshindwa kusamehe jamani
Hata uandike nini
Utajiju
Sibadilishi nililokuandikia.. ikija kwa hesabu huniwezi so funga kaya lako..
Jipige vibao vya usoni unawashwa washwa tu.. lisentensi lako halina la maana now.
atakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ¹/6 itapunguaa zaidihv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
Akijibu ni tag?Kwani mtu akiuwa bila kukusudiwa anapaswa kupongezwa?
atakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ¹/6 itapunguaa zaidi
hapo hujazungumzia Community service.