Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Lulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Wewe dada yako au mama yako akibakwa kwanini unakimbilia polisi then mahakamani!!? Kwani ukimshtaki ndo mama yako atakuwa hajabakwa!? Kumbuka haki huponya. Acha mama Kanumba na wapenzi/mashabiki wa Marehemu Kanumba wapoze maumivu kwakuona haki imetendeka japo si kwa kiwango kilichotegemewa.
Lulu ni kama amesamehewa tu maana adhabu iliyotolewa hailingani hata chembe na uzito wa kosa (kuua bila kukusudia)
 
Marehemu hana kesi kwa bahati mbaya lakini ingekua kinyume chake kwamba aliekufa ni msichana mdogo kesi ingekua kubwa zaidi
 
Miaka miwili si mingi tutamuona lulu yuko free. Maskini kanumba ndo alishaoza. Haisaidii kwa kweli..
Inasaidia sana tu.
Wengi watajifunza kutokana na hukumu hii na Lulu pia atajifunza na kujirekebisha. Pia mama, ndugu, rafiki na mashabiki wa marehemu kanumba hii ni faraja kwao kuona kuwa uhai wa kipenzi chao umethaminika.
 
Karibu tena....ulifanya nn mpaka wakakupa ban?

ulikua uzi wa dk slaa kupata kazi supermarkt ndo saint ivuga akaanza kama kunitupia ndoano bas ikawa km kamchezo !hapo nikawa namkwot mkewe inna !nakuja log in naambia nimepost kitu nje ya mada jukwaa la siasa nikakumbuka ni mitongozo ya huyo dogo Saint Ivuga !lol !sitak tena anitongoze aiseee heheheh!maana tulichat haswa tukiwa wa3 mm ivuga na inna !inaa anampaka ivuga anajipa flag haha
 
Wewe dada yako au mama yako akibakwa kwanini unakimbilia polisi then mahakamani!!? Kwani ukimshtaki ndo mama yako atakuwa hajabakwa!? Kumbuka haki huponya. Acha mama Kanumba na wapenzi/mashabiki wa Marehemu Kanumba wapoze maumivu kwakuona haki imetendeka japo si kwa kiwango kilichotegemewa.
Lulu ni kama amesamehewa tu maana adhabu iliyotolewa hailingani hata chembe na uzito wa kosa (kuua bila kukusudia)
Kubaka na kuua bila kukusudia ni sawa?
 
ulikua uzi wa dk slaa kupata kazi supermarkt ndo saint ivuga akaanza kama kunitupia ndoano bas ikawa km kamchezo !hapo nikawa namkwot mkewe inna !nakuja log in naambia nimepost kitu nje ya mada jukwaa la siasa nikakumbuka ni mitongozo ya huyo dogo Saint Ivuga !lol !sitak tena anitongoze aiseee heheheh!maana tulichat haswa tukiwa wa3 mm ivuga na inna !inaa anampaka ivuga anajipa flag haha
Ha ha ha yaani kuchat nje ya mada ndiyo upewe ban? Mods kuna muda wana vituko[emoji3][emoji3]
 
Unajuwa hili sio jambo mtu anaweza kufurahi ni msiba kwa pande zote. Mimi nadhani labda mama kaona Lulu ni kama alitaka kuonesha mwanae alikuwa mlevi na alimpiga na mapanga sasa kwa shutuma hizo lazima wewe kama mzazi na ndugu mtasikitika na kuumia. Mimi naona kama defence strategic haikuwa sawa labda angesema ukweli mtupu ingeleta maana maana mtu unaweza kukosea. Tuwaombee subira tu family zote katika wakati huu ni Mungu anajuwa nini kilitokea.
 
Ha ha ha yaani kuchat nje ya mada ndiyo upewe ban? Mods kuna muda wana vituko[emoji3][emoji3]

hahaha amenichekesha ivugakasema kipind anamtongiza inna kuna mod alikua naye anamfukuzia inna yaan nimecheka sana !yeah naskia juklwaa la siasa wako strictly !lakini nashangaa wanaachia matusi !mxiew
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !

Hata uandike nini
Utajiju
Sibadilishi nililokuandikia.. ikija kwa hesabu huniwezi so funga kaya lako..

Jipige vibao vya usoni unawashwa washwa tu.. lisentensi lako halina la maana now.
 
The truth can't unchanged, huyo mama ameshindwa kusamehe jamani
Wengi tunacomment kwa kutokuwa na ufahamu wa haya mambo.
Kwenye kesi yoyote ya mauaji mshitaki ni Jamhuri (serikali) na si muathiriwa/mtendewa.
Kwahiyo mama kanumba hata kama angemsamehe Lulu bado kesi ingeendelea kusikilizwa na hukumu ingetolewa.
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
atakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ¹/6 itapunguaa zaidi
hapo hujazungumzia Community service.
 
atakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ¹/6 itapunguaa zaidi
hapo hujazungumzia Community service.

mayb wewe umenielewa ndo maana nimesemaeti kulia kwa furaha hukum ya kitotto hv haisaidii !
 
Back
Top Bottom