Hakika!! Nakubaliana na wewe. Hapa najiuliza maswali mengi tu - ningekuwa mie ndio Lulu - ningeshukuru kua bora ni hio miaka miwili kuliko kifungo cha maisha, au?? Ningekuwa mama Kanumba - hio miaka miwili inatosha kweli au???
😕😕
Jela ni jela tu hata hii miaka miwili ni mingi sana,cha msingi Lulu na wakili wake wakae watuli,wanaweza chomoka kwa msamaha wa rais,lakini wakianza fujo,mara zakukata rufaa,wanaweza kumbana na mkazio mzito tena