Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Lulu ni 23 years old by now!!! Kwa anaebisha anifate DM ,,,Ila tatizo ni mfupi tu ndio maana watu wanaumuona mdogo,,

Kwa hiyo mkuu unataka sema Traffic officer na Officer wa Tanzania Revenue Authority wanatakiwa kwenda jela kwa kutoa mali ya serikali kwa Raia ambaye hakua na sifa zakuimiliki??? Anyway yaweza kua kweli she is 23 by noe,but walitoa mali ya serikali kwa Lulu wanatakiwa kwenda jela pia
 
hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
Ujinga utatuua Tanzania hv hapa si mlikua mnalilia lisu sijui alete wapelelezi Sasa wakija ndo itabadilisha kutopigwa risasi sheria lazima ifuatwe mbona mnapiga mwizi je ndo mali zako zilizoibiwa zitarudi
 
Mh sasa Kwan ndo atafufuka?
Hafufuk but inamletea aman moyon km mzaz kla mtu anavutia upande wake kulingana na mapenz ya mama kwa mtt, kla mtu anauchungu na mwanae, hata Mama Lulu anajua mwanae anahatia lkn inamuuma sana mwanae kwenda gerezan, mapenz ya Mama kwa mtt, unaweza fanya lolote ili nafs yko ifurah... Ndo mn kuna visas dunian coz huwa znamfanya mtu anapata amani fulan moyon
 
Watu wengine wapumbavu sana. Mtu anauliza kufungwa Lulu itamsaidia nini mama Kanumba.

Kwa hiyo watu waendelee kuua wakijua hakuna litalowatokea maana wakifungwa marehemu hafufuki?

Kwa maana hiyo kesho akaue mwingine bila kukusudia maana hamna adhabu. Hakuna umaskini mbaya kama wa mawazo!
Mimi mwenyewe nashindwa hata kuwashangaa. Wanamaanisha hukumu kwa mtu aliyeua haina maana kwa sababu haimrudishi marehemu
 
Kwa hiyo mkuu unataka sema Traffic officer na Officer wa Tanzania Revenue Authority wanatakiwa kwenda jela kwa kutoa mali ya serikali kwa Raia ambaye hakua na sifa zakuimiliki??? Anyway yaweza kua kweli she is 23 by noe,but walitoa mali ya serikali kwa Lulu wanatakiwa kwenda jela pia
Kaka hao hawana wote uliowataja hawana makosa kwa sababu nadhani sheria zinamtambua mtu mzima ni kuanzia 18years old,,,na hiyo 2012 Lulu alikuwa na age hiyo,,,, that's why nasema lulu ni jitu zima sema mfupi
 
Najua maumivu yakufiwa na maumivu ya ndugu au jamaa kufungwa jela,lakini kwa hukumu hii ni ndogo sana,Lulu alitakiwa ale mvua si chini ya miaka 15 hivi
Angalau sasa tumejua kosa la kuua bila kukusudia kifungo chake ni Miaka 2..
Kesi zitakua nyingi za namna hii..Hata kama itatokea umeua makusudi Wakili wakiweza kubadili kesi kuua bila kukusudia ..Jiandae Miaka yako miwili ndani ..kina Zombe Wao walishinda kabisa kesi..Pamoja na kutumia vitu vya ncha Kali..So kwa hili haki imetendeka..Tz Bana duuh!!.Unahitaji kuwa Maarufu tu
 
Kale kakubwa.... Kama 2012 kalikua na driving license means she was above 18yrs... Huwezi pata license kama uko chini ya 18yrs,la sivyo kama she was under 18yrs,aliyetoa license kwa Lulu anatakiwa kua Segerea pia
Upo correct Sana, yule alishatimiza miaka 18 ila waliamua kuirudisha nyuma tu
 
Angalau sasa tumejua kosa la kuua bila kukusudia kifungo chake ni Miaka 2..
Kesi zitakua nyingi za namna hii..Hata kama itatokea umeua makusudi Wakili wakiweza kubadili kesi kuua bila kukusudia ..Jiandae Miaka yako miwili ndani ..kina Zombe Wao walishinda kabisa kesi..Pamoja na kutumia vitu vya ncha Kali..So kwa hili haki imetendeka..Tz Bana duuh!!.Unahitaji kuwa Maarufu tu

Mawakili watakua wanatumia case study hii case,watakua wanasema kama Lulu aliua na akala mvua mbili tu,kwa nini asiwe mteja wangu??
 
HAKIMU MUHAYA, LULU MUHAYA, ALIYEANDIKA USHAHIDI WA MAANDISHI MKE WA DR SLAAA MUHAYA, MAMA KANUMBA MUHAYA.ILIKUWA KESI TAMU SANA .HAKI IMETUMIKA KWANZA ALITAKIWA KUWA MAHABUSU TANGIA MWAKA ALIOKUFA KANUMBA.AMSHUKURU MUNGU NA HATA HIZO MVUA MBILI AMSHUKURU TU MUNGU
FUNDISHO KWA WENGINE MLIOKUWA MNABWETEKA ENZI ZA ZAMANI.HAPA WENGI MTAKULA MVUA NYINGI TU!!!
Mama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi.

Mama Kanumba amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu, Mahakama na serikali na kudai akitoka mahakamani moja kwa moja anaenda makaburini.

Haya mambo magumu mpaka yakupate ndio utaelewa!!!!
Hakika!! Nakubaliana na wewe. Hapa najiuliza maswali mengi tu - ningekuwa mie ndio Lulu - ningeshukuru kua bora ni hio miaka miwili kuliko kifungo cha maisha, au?? Ningekuwa mama Kanumba - hio miaka miwili inatosha kweli au???
😕😕
 
Kaka hao hawana wote uliowataja hawana makosa kwa sababu nadhani sheria zinamtambua mtu mzima ni kuanzia 18years old,,,na hiyo 2012 Lulu alikuwa na age hiyo,,,, that's why nasema lulu ni jitu zima sema mfupi

Okey poa mkuu, nimekupata
 
Back
Top Bottom