Hapana kwake inamsaidia sana kihisia.kitaalamu amekuwa kwenye grieving process kwa muda mrefu mno.sasa ni kusema atafika mwisho.
Prolonged grief ingeweza kumuua hata yeye.Ukimfuatilia utaona tayari hata kiakili hakuwa sawa.
mayb wewe umenielewa ndo maana nimesemaeti kulia kwa furaha hukum ya kitotto hv haisaidii !
Ila duuh....jaji ni noma, lulu kasukumiziwa mambo kibao, tabia mbaya yy, utovu wa nidhamu, tabia mbaya kwenye jamii, utukutu, umalaya, malezi mabovu kutoka kwa wazazi wake....yaan full misala yote imemuangukia!
Mbona umeishikilia sana hiyoMakonda kashasema DADY IS COMING
Lulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Murder,manslaughter,moneylaundering,Armedy Robbery makosa haya hayana msamaha wa raisatakaa gerezani mwaka 1 na miezi 4 tuu na endapo akipata msamaha wa raisi amabo ni ΒΉ/6 itapunguaa zaidi
hapo hujazungumzia Community service.
Mbiti'yapi' profile lako utata mtupu.masikini!hata haisaidii
Lulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
masikini!hata haisaidii
ANAPATA RELIEF JAPO HAIMSAIDII LOLOTE MAANA MWANAYE KASHAPOTEA LAKINI KUMUONA LULU IG ALKIPAKA LIPSTIK ZA AINATOFAUTTOFAUT NA USO UMEMNGAA MUDA WOTE ILIKUWA INAMKERWEKETA KWELI HAPO ANAJISKIA FARAJA HATA INGEKUWA NI WEWE UNGEJISKIA HALI FULANI HIVI YA AHUENIduh..miaka 2 unafurah namna hyo !anywys
Peace of MindLulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
okay has na ww ukibakwa mbakaji asifungwe koz akifungwa inakusaidia nin wewe??hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
hajielew Huyo dada. hawa atakuja kubakiwa mwanae alafu atajua inamsaidia nn mhusika akifungwaNi sawa na mtu kakupiga unaenda kumshtakia,je akipigwa na yeye itakuongezea nn.
Kufiwa kusikie kwa jiran tu.tena ukute walijibishana na mama kanumba akakashfiwa mwanae lazima apate faraja hata kama wengine wameumizwa na hukumu