Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Nauliza TU,
Wema iyo taaluma ya uandishi kasomea wapi?

Maswali ya kijinga jinga Kama haya, ndo maana TCRA imeweka masharti magumu
 
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!

Ngoja nikupe mfano hai

Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..

So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
Nilikuwa perfect vision mda huo lulu alikuwa form two.
 
Lulu ana nyumba saranga kuleeee unaingilia temboni. Sema hawajawahi ishi huko
 
Namkubaligi sana mama yake lulu
Yuko kimya sina hanaga papara ya kulopokalopoka ovyo kutaka kuingilia mambo ya mtoto wake...

Ova
 
Back
Top Bottom