witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Teh yeh imebidi nicheke tu[emoji16]Kilichomponza yule Pedophile Kanumba ni Pombe, wajameni msinywe kupita kiasi halafu muwatafutie watu lawama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh yeh imebidi nicheke tu[emoji16]Kilichomponza yule Pedophile Kanumba ni Pombe, wajameni msinywe kupita kiasi halafu muwatafutie watu lawama.
Ndio ukweli wenyewe.Duuuh Mbona balaa
Aliemshauri huo upuuz afunguliwe kesi ya UHUJUMU UCHUMIAliyemshauri wema ajikondeshe ni mchawi tu
😥 jamani yale makalio hayapo tenaAliyemshauri wema ajikondeshe ni mchawi tu
Nilikuwa perfect vision mda huo lulu alikuwa form two.Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!
Ngoja nikupe mfano hai
Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..
So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
Duh Basi tunajuana mkuu[emoji848]Nilikuwa perfect vision mda huo lulu alikuwa form two.
Sio chini ya 15Duh Basi tunajuana mkuu[emoji848]
Hebu niambie mkuu, eti pale 2008 form two alikuwa na miaka mingapi?