Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Hasanali inaelekea anapenda sana chakula.
 
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Mumewe ametulia kaburini.
Halafu mama kanumba alishahojiwa akasema hakuwahi kuolewa na baba kanumba walizaa tu, sina uhakika kama waliwahi ishi pamoja
 
Wote wajinga

Wema anapenda kuonesha watu kila alipokua na mahusiano alipendwa sana kuliko wengine na hapo hapo anawaganda kanumba na domo tu hatazi chaz baba wala jumbe

Lulu anapenda sympathy wakati anajua jeuri na dharau alizokua nazo alionywa sana akawa anajibu mbovu na kudondosha birthday ya nguvu kuwa kafikisha miaka 18 so waja waache kumpangia maisha amekua. Likamtokea la kumtokea akashusha umri fasta. Halafu kanumba hakua wa kwanza kwake,jamaa anadondoshewa dhambi zoooteee wakati alikuta katoto kameshakuzwa tayari

Sijaona umuhimu wa wema kuendeleza kuhusu kanumba na sijaona umuhimu wa lulu kuringishia nyumba ya majizo
 
Mzazi akikwambia fanya hivi usifanye kila saa nyingine usimbishie anaona mbali. Majay akilazimisha hakuna rangi ataacha kuziona

Kina mama waache kuingilia mapenzi ya watoti wao
 
Hahaha Ni Kama wote wamechanganyikiwa kwamba wema anatudolishia mahusiano yake ya nyuma, (angekuwa bora wangemuoa Sasa), lulu nae anadolishia nyumba ya boyfriend wake😂😂😂yani hajaolewa ila anavyovimba Sasa, tumtu tufupi tuko na shida mingi sana
 
Akiongea na watu wa wcb lazima aongelee mahusiano yake na daimond
Akiwa na mama kanumba lazima aongelee hadi mimba alizotoa
Mwanamke mzima kujitamba unapendwa na mama wakwe! Hivi haoni aibu? Ina maana anaona sifa kuwa na wanaume wengi, kutoa mimba nako anaona ni kitu cha kawaida sana kukisema hadharani.
Akili zake anazijua yeye.
.
.
Angetumia umaarufu na uzuri wake vizuri angekuwa ana heshimika sana. Anatia hasira angekuwa mwanangu angekula vibao kila siku bila kujali umri wake.
 
Lulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…