Mkuu Sisi ni binadam kifo cha Kanumba karibu wengi tuliumia itakuwa mzazi? Ni kitu ambacho kinaeleweka Kwa wote, sasa kama ni adhabu huyu binti kisha zipata bado haridhiki nini kingine anataka? Angesema mahakamani kwamba haridhiki na hizo adhabu labda angenyongwa kielewe kimoja, lakini sio maneno yasiyoisha,, mzazi hata siku moja hasahau kifo cha mwanae nasisitiza hilo. Awe basi angalau na kaba apunguze makali ya maneno. Maswali na majibu kama Yale yamewashushia hadhi kabisa. Kumbuka hata mwanae alikuwa na makosa hivyo mzazi mwingine angeona aibu Kwa alilolifanya mwanae pia. Mkuu labda nisionekane kusema Sana nikakufuru niishie hapo