Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Huwezi kumpoteza mwanao kama Kanumba tena jatika nazingira yake halafu unifanye kama hakijatokea kitu.

Mwacheni huyo mama awe anazungumza kwasaba u inamsaidia kupata relief.

Tatizo la binadamu wanadhani ni rahisi sana kubear matatizo ambayo hata wao uwezo wa kubear hawana.
Mkuu Sisi ni binadam kifo cha Kanumba karibu wengi tuliumia itakuwa mzazi? Ni kitu ambacho kinaeleweka Kwa wote, sasa kama ni adhabu huyu binti kisha zipata bado haridhiki nini kingine anataka? Angesema mahakamani kwamba haridhiki na hizo adhabu labda angenyongwa kielewe kimoja, lakini sio maneno yasiyoisha,, mzazi hata siku moja hasahau kifo cha mwanae nasisitiza hilo. Awe basi angalau na kaba apunguze makali ya maneno. Maswali na majibu kama Yale yamewashushia hadhi kabisa. Kumbuka hata mwanae alikuwa na makosa hivyo mzazi mwingine angeona aibu Kwa alilolifanya mwanae pia. Mkuu labda nisionekane kusema Sana nikakufuru niishie hapo
 
Ni tv gani iliyompa wema airtime? Au anarusha kipindi chake kwenye online channel?
 
Wote wajinga

Wema anapenda kuonesha watu kila alipokua na mahusiano alipendwa sana kuliko wengine na hapo hapo anawaganda kanumba na domo tu hatazi chaz baba wala jumbe

Lulu anapenda sympathy wakati anajua jeuri na dharau alizokua nazo alionywa sana akawa anajibu mbovu na kudondosha birthday ya nguvu kuwa kafikisha miaka 18 so waja waache kumpangia maisha amekua. Likamtokea la kumtokea akashusha umri fasta. Halafu kanumba hakua wa kwanza kwake,jamaa anadondoshewa dhambi zoooteee wakati alikuta katoto kameshakuzwa tayari

Sijaona umuhimu wa wema kuendeleza kuhusu kanumba na sijaona umuhimu wa lulu kuringishia nyumba ya majizo
Majizo ana nyumba gani? Ufahari wa insta wakati kuhalisia majizo hana nyumba zaidi ya servant kota tu.
 
Huwezi kumpoteza mwanao kama Kanumba tena katika MAZINGIRA yale halafu ujifanye kama hakijatokea kitu.

Imagine mashabiki mpaka wasanii wenyewe wanamMISS seuse mama yake ??

Halafu huyo mama kapatwa majanga makubwa sana mfululizo.

Mwacheni huyo mama awe anazungumza kwasaba u inamsaidia kupata relief.

Tatizo la binadamu wanadhani ni rahisi sana kubear matatizo ambayo hata wao uwezo wa kubear hawana.
Ni kweli yule mama anastahili kuongea sanaa hata mim nisingenyamaza atii ningeongea kila siku mbona
 
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Baba kanumba ameshafariki
 
Mkuu Sisi ni binadam kifo cha Kanumba karibu wengi tuliumia itakuwa mzazi? Ni kitu ambacho kinaeleweka Kwa wote, sasa kama ni adhabu huyu binti kisha zipata bado haridhiki nini kingine anataka? Angesema mahakamani kwamba haridhiki na hizo adhabu labda angenyongwa kielewe kimoja, lakini sio maneno yasiyoisha,, mzazi hata siku moja hasahau kifo cha mwanae nasisitiza hilo. Awe basi angalau na kaba apunguze makali ya maneno. Maswali na majibu kama Yale yamewashushia hadhi kabisa. Kumbuka hata mwanae alikuwa na makosa hivyo mzazi mwingine angeona aibu Kwa alilolifanya mwanae pia. Mkuu labda nisionekane kusema Sana nikakufuru niishie hapo
Mkuu hiyo Kesi ilikuwa na mambo mengi, mara mtuhumiwa kashusha umri mara siasa zimeingilia.

Ina maana huyo Lulu enzi hizo ana ruka na kina Mr Blue, Alikiba alikuwa na miaka mingapi ??

Enzi hizo ana ndoto za kuolewa na kina Justin Bieber 😳😳

So, probably mama Kanumba anaona adhabu inayofaa ni kuliongelea hilo suala mara nyingi.

Na inaonekana akiliongelea linampa Lulu psychological torture.
 
Mkuu Sisi ni binadam kifo cha Kanumba karibu wengi tuliumia itakuwa mzazi? Ni kitu ambacho kinaeleweka Kwa wote, sasa kama ni adhabu huyu binti kisha zipata bado haridhiki nini kingine anataka? Angesema mahakamani kwamba haridhiki na hizo adhabu labda angenyongwa kielewe kimoja, lakini sio maneno yasiyoisha,, mzazi hata siku moja hasahau kifo cha mwanae nasisitiza hilo. Awe basi angalau na kaba apunguze makali ya maneno. Maswali na majibu kama Yale yamewashushia hadhi kabisa. Kumbuka hata mwanae alikuwa na makosa hivyo mzazi mwingine angeona aibu Kwa alilolifanya mwanae pia. Mkuu labda nisionekane kusema Sana nikakufuru niishie hapo
Wabongo msijifanye wajuaji mnataka kumpangia mtu Hadi namna ya kuflow hisia zake.

Ni haki yake
 
Ni kawaida ya kifo cha mtu maarufu kuongelewa mara kwa mara hasa kwa vile vifo vilivyotokea kwa jinsi isiyo ya kawaida!

Kina Omar Shakur , Michal Jackson na wengine vifo vyao huongelewa mara kwa mara .

Ikumbukwe Mama Kanumba alikuwa akimtegemea Kanumba kwa hali na mali sasa siyo rahisi kuacha kumkumbuka mwanao hata kidogo !

Kwa hiyo msimhukumu mtu kuonesha au kutoa hisia zake!
 
Weee anayo?[emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom