Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Wema ni bure
Lulu anamzidi wema mbali mno kimaisha
 
Macelebrity manamake ya bongo akili zimejaa funza tupu. Mi kuzungumzia tu kutiwa na ex naoanaga kinyaa ije kuwa kutoa mimba na kuringishia eti nilipendwa na mama mkwe,,,pyeeeee mama mkwe kwa ndoa ipi labda😂😂😂😂
 
Macelebrity manamake ya bongo akili zimejaa funza tupu. Mi kuzungumzia tu kutiwa na ex naoanaga kinyaa ije kuwa kutoa mimba na kuringishia eti nilipendwa na mama mkwe,,,pyeeeee mama mkwe kwa ndoa ipi labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]
 
Lakin lulu hiyi nyumba aloonesha sio ya kwanza pia
Itakuwa ya pili au ya tatu
Basi yupo vizuri. Kumbe bongo movie inalipa, wema anakwama wapi hataki katuonyesha nyumba yake au hapendi show off
 
Kosa la mama kanumba Ni lipi?
Wema kamuuliza "YEYE KAJIBU"
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
 
Watu wana roho mbaya sana!

Yule kuna mtu alikuwa anashindana nae ( hamisa) ndo maana kaendaga kujipunguza vile... kingine kupenda utoto kumemcost, akijua eti akipungua atarudi utotoni
Ila papuchi inabaki kuwa Pana vile vile!?
 
Huwezi kumpoteza mwanao kama Kanumba tena katika MAZINGIRA yale halafu ujifanye kama hakijatokea kitu.

Imagine mashabiki mpaka wasanii wenyewe wanamMISS seuse mama yake ??

Halafu huyo mama kapatwa majanga makubwa sana mfululizo.

Mwacheni huyo mama awe anazungumza kwasababu inamsaidia kupata relief.

Tatizo la binadamu wanadhani ni rahisi sana kubear matatizo ambayo hata wao uwezo wa kubear hawana.
 
Basi yupo vizuri. Kumbe bongo movie inalipa, wema anakwama wapi hataki katuonyesha nyumba yake au hapendi show off
Unawezaje kuacha kazi inayolipa ???

Kama bongo movie inalipa why hatoi movie tena ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…