Weee...ila yule dada hana nuru usoni?Pigia Mstari Jibu.
Na kweli asee yule mama akianza kuropoka mambo ya kanumba, huwa kanapagawaga kweli, like his blood haunts her[emoji848][emoji848]Mkuu hiyo Kesi ilikuwa na mambo mengi, mara mtuhumiwa kashusha umri mara siasa zimeingilia.
Ina maana huyo Lulu enzi hizo ana ruka na kina Mr Blue, Alikiba alikuwa na miaka mingapi ??
Enzi hizo ana ndoto za kuolewa na kina Justin Bieber [emoji15][emoji15]
So, probably mama Kanumba anaona adhabu inayofaa ni kuliongelea hilo suala mara nyingi.
Na inaonekana akiliongelea linampa Lulu psychological torture.
NakaziaaaaaaaWabongo msijifanye wajuaji mnataka kumpangia mtu Hadi namna ya kuflow hisia zake.
Ni haki yake
Hiyo akili ipo sasaHivi Wema alishindwa kuuliza maisha yanaendaje bila Kanumba? Uliwezaje kupona jeraha la msiba?
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!Wote wajinga
Wema anapenda kuonesha watu kila alipokua na mahusiano alipendwa sana kuliko wengine na hapo hapo anawaganda kanumba na domo tu hatazi chaz baba wala jumbe
Lulu anapenda sympathy wakati anajua jeuri na dharau alizokua nazo alionywa sana akawa anajibu mbovu na kudondosha birthday ya nguvu kuwa kafikisha miaka 18 so waja waache kumpangia maisha amekua. Likamtokea la kumtokea akashusha umri fasta. Halafu kanumba hakua wa kwanza kwake,jamaa anadondoshewa dhambi zoooteee wakati alikuta katoto kameshakuzwa tayari
Sijaona umuhimu wa wema kuendeleza kuhusu kanumba na sijaona umuhimu wa lulu kuringishia nyumba ya majizo
TrueMzazi akikwambia fanya hivi usifanye kila saa nyingine usimbishie anaona mbali. Majay akilazimisha hakuna rangi ataacha kuziona
Mwongoooo[emoji57]Lulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]
Itakuwa wema hana hata kiwanja[emoji848][emoji848]Ha haaa ni kama anamringishia Wema, nahisi wema hana kakibanda
Wema ni [emoji2388]Yes lakin mi naonaga bora lulu wema debe tupu
Ha haaa labda kweliMwongoooo[emoji57]
Weee...ila yule dada hana nuru usoni?
Huyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!
Ngoja nikupe mfano hai
Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..
So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]
Majizo ana nyumba gani? Ufahari wa insta wakati kuhalisia majizo hana nyumba zaidi ya servant kota tu.
Uchawi tu wamaza wengineMamaake majizzo hamtaki lulu
Kina mama waache kuingilia mapenzi ya watoti wao
Mamaake majizzo hamtaki lulu
Hahaha Ni Kama wote wamechanganyikiwa kwamba wema anatudolishia mahusiano yake ya nyuma, (angekuwa bora wangemuoa Sasa), lulu nae anadolishia nyumba ya boyfriend wake😂😂😂yani hajaolewa ila anavyovimba Sasa, tumtu tufupi tuko na shida mingi sana
😂😂😂Ni kweli kabisa huyo binti kigagula amemuua Kanumba.
Hawezi kua na miaka 29 nakataaHuyu lulu ni mkubwa, mi nashangaa watu wanasema ni katoto!
Ngoja nikupe mfano hai
Wakati niko form four mbezi 2008 tulikuwa tunachacharika mjini na matuishen, kupigwa msasa na walimu maarufu ili tupate div 1, ktk kuhangaika huku na kule na wenzangu mara tukatua perfect high school pale kwa kadege ubungo, huyo lulu alikuwa anasoma hapo form two, mapepe full full kugombania wazee pale ndo ilikuwa zake..
So 2008 alikuwa na 16 ongeza mpaka now 13 inakuwa 29...kakukuubwa kale sema ufupi tu[emoji57]