Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

Nimeshawishika kumwelewa Lulu kwa maneno yake mazito. Kwa umri waliokuwa nao wote wawili wakati wanaanza Mapenzi, ni huruma za serikali tu Kanumba kutolamba miaka 30.
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Binafsi nami sijaona kosa la Wema kuuliza lile swali.. Wema ile ni kazi yake na Kuuliza lile swali amezidi kuwasaidia watu ambao hawajui Kanumba nini kilimuua.
Lulu awe mpole tu.. tatizo ni kwamba anapenda huruma ya jamii sana..
 
Hawajuagi kujiweka low profile yani hao vilaza, wema anavuna alichopanda ukimtizama tu usoni unaiona depression ya ukweli, mume hana, mtoto hana, mvuto kwisha, maisha mvurugiko, na yote kayasababisha mwenyewe
 
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Huyu mama ni jirani yangu..naona vijana wa mjini wanamnyandua tu saivi.
 
Sikuwa najua kuwa alishfariki
Ila bado tu atuliege mana hata akiliongelea kila mara haisaidii.
Angenyamaza tu au kupotezea ingetosha
Mume unamaanisha baba kanumba au? Kwani si alishafariki muda ataongea vipi
 
Hivi Wema alishindwa kuuliza maisha yanaendaje bila Kanumba? Uliwezaje kupona jeraha la msiba?
Sio kila Mtu ana kipaji cha kufanya interview, wengine wana force tu wapate ugali matokeo yake ndio haya.
 
Duh, kama huyo Mbunifu keshapitia huko na bado akarudi pale pale basi huyo ameshindikana.
 
Huyu mama kanumba nae akae kwa kutulia kesi na suala la mwanae lilishaisha,

Wema nae mfukunyuku tyuuuh sasa ilihusu nn kuuliza kuhusu kifo cha kanumba msueeeew.

Kuhusu ndoa ya majay na lulu,
Kiisingizio mama mkwe hamtaki lulu, wakati majay amezama, amekufa ameoza kwa penzi la mwanaume mwenzie.
Halllow waleleeeeeh. Mjini patamu sihami ng'ooooh.
 
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Mumewe yupi?? Km ni baba yake kanumba mbona alikufa
 
haya mashoo tabu zake wanayoongea yanapangwa kwa asilimia kubwaaa nini kiongelewe.. hakuna cha reality hapo.. michosho tu..
 
Si alitaka kupiga cha fasta. Halafu Kilulu chenyewe kilikuwa kichafuchafu vile halafu mtu ale tigo, duh. Kuna watu wana moyo

sijui ni kwanini naamini hizo alama zilizokutwa kwenye mwili wa Lulu aliwekewa baada ya jamaa kufariki maana kalikimbia eneo la tukio kakaenda kujificha huko
anyway nasikia kapteni tumbo alikipiga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…