Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
uzuri wa wanawake nowdays unategemeana na ubora wa simu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
Mama ajitahidi kuupenda usingizi wa mwanae.Mamaake majizzo hamtaki lulu
Hasanali inaelekea anapenda sana chakula.Mwacheni Wema, kukonda hizo surgery zinasaidia kukonda lakini ukitaka kurudi kuwa mnene unaweza sana tu, mfano ni Mbunifu wa mavazi Hasanali alifanya surgery ila sasa hivi ni mnene, mwacheni lifestyle yake km kaamua kuwa mwembamba na kujiongezea umri wa kuishi 😏😏😏😏
Mi najua ndoa ikitangazwa kanisani basi imeiva, baada ya matangazo matatu kinachofata ni ndoa. Sijui tatizo ni nini..Basi hapo kasheshe. Maana tangu ndoa itangazwe hadi leo ni zaidi ya miezi miwili sasa
Mumewe ametulia kaburini.Huyo mama pia nadhani kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mbona mumewe katulia.
Utu uzima dawa ila huyu mama kakosa busara japo tunajua ana maumivu lakini bado hatumii busara .
Muda mwingine kuna mambo ni bora ukae kimya tu.
UmemeAliyemshauri wema ajikondeshe ni mchawi tu
Mamaake majizzo hamtaki lulu
Aliyemshauri wema ajikondeshe ni mchawi tu
Ka Wema kapumbavu sana, kajinga hakanaga akili.
Mama kanumba nae mshamba mshamba sijui yukoje
Mzazi akikwambia fanya hivi usifanye kila saa nyingine usimbishie anaona mbali. Majay akilazimisha hakuna rangi ataacha kuziona
Hahaha Ni Kama wote wamechanganyikiwa kwamba wema anatudolishia mahusiano yake ya nyuma, (angekuwa bora wangemuoa Sasa), lulu nae anadolishia nyumba ya boyfriend wake😂😂😂yani hajaolewa ila anavyovimba Sasa, tumtu tufupi tuko na shida mingi sanaWote wajinga
Wema anapenda kuonesha watu kila alipokua na mahusiano alipendwa sana kuliko wengine na hapo hapo anawaganda kanumba na domo tu hatazi chaz baba wala jumbe
Lulu anapenda sympathy wakati anajua jeuri na dharau alizokua nazo alionywa sana akawa anajibu mbovu na kudondosha birthday ya nguvu kuwa kafikisha miaka 18 so waja waache kumpangia maisha amekua. Likamtokea la kumtokea akashusha umri fasta. Halafu kanumba hakua wa kwanza kwake,jamaa anadondoshewa dhambi zoooteee wakati alikuta katoto kameshakuzwa tayari
Sijaona umuhimu wa wema kuendeleza kuhusu kanumba na sijaona umuhimu wa lulu kuringishia nyumba ya majizo
Mwanamke mzima kujitamba unapendwa na mama wakwe! Hivi haoni aibu? Ina maana anaona sifa kuwa na wanaume wengi, kutoa mimba nako anaona ni kitu cha kawaida sana kukisema hadharani.Akiongea na watu wa wcb lazima aongelee mahusiano yake na daimond
Akiwa na mama kanumba lazima aongelee hadi mimba alizotoa
Lulu kasema nyumba ni yake kajenga kutokana na kazi zake [emoji3]Hahaha Ni Kama wote wamechanganyikiwa kwamba wema anatudolishia mahusiano yake ya nyuma, (angekuwa bora wangemuoa Sasa), lulu nae anadolishia nyumba ya boyfriend wake[emoji23][emoji23][emoji23]yani hajaolewa ila anavyovimba Sasa, tumtu tufupi tuko na shida mingi sana