Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama inakukera humu umefuata nini? Mfyuuu ebu tutokee apa, kajambie fery
Mwansume ndo nani? Labda umenifananisha mkuu mi simjui kabisa
Mwansume ndo nani? Labda umenifananisha mkuu mi simjui kabisa
Mwansume ndo nani? Labda umenifananisha mkuu mi simjui kabisa
Kumbe Warumi ni me?? Kweli dunia haiishi miujiza
Anamuulizia Mwansume!Aende police kutoa taarifa au tbc asipomwona kabisa aende mochwari zotee mji mkubwa huu...Mtu mwenyewe mfa maji....achana nae ndio hawa wanakusababishiaga ban
Kumbe Warumi ni me?? Kweli dunia haiishi miujiza
Kwani vipi haswaa mwanaume mkuyati sio maneno hata kwenye keki yapo mtuachie binamu yetu ahlaaaaa!
Mwanaume mwenye hulka hizo si bure..........yapo maneno!
Anamuulizia Mwansume!Aende police kutoa taarifa au tbc asipomwona kabisa aende mochwari zotee mji mkubwa huu...
Anamuulizia Mwansume!Aende police kutoa taarifa au tbc asipomwona kabisa aende mochwari zotee mji mkubwa huu...
Akitaka aujue ujinsia wa binamu Warumi ajifungie nae chumbani walau kwa pisaa moja tu kama hatoshangazwa na kuomba poo,kama yeye ni SHE lakini,kama ni HE akajambe baharini huko ata ushuz wake hatousikia harufu yake..Kumtafuta tuuuu!!! ampe dada ake kabisa alee pembe la ng'ombe. mfyuuu!
Akitaka aujue ujinsia wa binamu Warumi ajifungie nae chumbani walau kwa lisaa limoja tu kama hatoshangazwa na kuomba. poo,kama yeye ni SHE lakini,kama ni HE akajambe baharini huko ata ushuz wake hatousikia harufu yake..Kumtafuta tuuuu!!! ampe dada ake kabisa alee pembe la ng'ombe. mfyuuu!
Akitaka aujue ujinsia wa binamu Warumi ajifungie nae chumbani walau kwa lisaa limoja tu kama hatoshangazwa na kuomba. poo,kama yeye ni SHE lakini,kama ni HE akajambe baharini huko ata ushuz wake hatousikia harufu yake..
Anamuulizia Mwansume!Aende police kutoa taarifa au tbc asipomwona kabisa aende mochwari zotee mji mkubwa huu...
Alikuwa anasali sana,siku moja akiwa katika maombi na mwanamaombi mwenzie akatereza akajipiga kichwa ukutani,inasemekana alitumia maji mengi ya baraka mengine yalimwagika akatereza.....