Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenyew hata kuandika hajui, nimemuonea huruma maskini
Ha ha ha...la kwanza haswaa au usikute sisi ndo hatujamwelewa maybe kweli anamuulizia 'mwansume'.Arudi la kwanza
Ha ha ha...la kwanza haswaa au usikute sisi ndo hatujamwelewa maybe kweli anamuulizia 'mwansume'.
Anaishi wapi mwansume?? Kazi yake ni nini apa mjini? Si mbona hatumjui, labda akamuulizie instagram
Kazi yake umbea
Naona hajawahi kutusikia, aulizie mtaa wa pili watampa habar yetu , ye aulizie tu eti akina three some ndo akina nani na kazi yao nini apa mjini, atapewa taarifa, huyu ni mgeni, tutakuwa tunamuonea tu , akaulizie profile letu kwanza
Kazi yako si umeshaisema umesahau mara hii?? tena unapanga kabisa kua mbeya proffesional! Mara fulani ananuka kikwapa, ungekua KE ningekubali lakini ME! I feel sorry for you
Kazi yako si umeshaisema umesahau mara hii?? tena unapanga kabisa kua mbeya proffesional! Mara fulani ananuka kikwapa, ungekua KE ningekubali lakini ME! I feel sorry for you
Si alikuwa mwimba kwaya marehemu, jamaa alitoka kwenye familia ya kidini, na kweli kanumba alikuwa yupo tofauti sana na vijana wengine, alikuwa na HEKIMA sana na heshima kwa kila mtu, na ndio maana alifika mbali, hayo mambo mengine ni ya kibinadamu, ila kanumba alikuwa anamjua sana Mungu
Ndugu nikupe ushauri wa bure Huku chini celeb utakufa kwa presha bure. Wewe si wakwanza walikuja na spidi 200 wakajikuta wanapitiliza baharini. Wewe km vya huku vinakushinda wewe nenda siasa au MMU.
kwahiyo mpaka sasa bongo movie hakuna aliyefikia level za kanumba?
Mimi nikifa yupo mme wangu lakini sitahitaj aseme haisaidii kitu