Na hapo mi nimemshangaaa
mbona anaigiza na ye ni mbongo movie
Atupishe apa na yeye, sasa asimsaidie mama yake amsaidie yeye??... wampishe mama wa watu khaa
Ila bina mama nae kazidi kafilisi kila kitu cha mwanae
Ushasema mali za mwanae binamu, marehemu mwenyew alikuwa na mahaba na mama yake mzazi, mwachen mama wa watu, kampuni ya mwanae aliyetok tumbon kwake ,hakuna aliyemsaidia kubeba wala kujifungua kanumba
Tuache kuvuka mipaka na wazazi wa watu khaaa
Tuachane na hayo vipi niliona ile nyumba ya milion 400 inapangishwa au sio yenyewe
Mmh uliona wap tena binamu??
Jukwaa la matangazo, lakin si ashahama,
Uwe unaingia sinta.com kuna watu wanakoment huko michambo hua nacheka mpaka naumwa khaaa!!!
Kumtoa mama yako ndo uchiz?? Mmmh kaz unayo mwenzangu, sasa ulitak amsaidie nani?
Wee?? Iv unajiungaje ili niwe na comment kwa sijtah??, ngoja nichungulie kwanza
Muelekeze warumi aelewe ulichoelewa
Hata sijuii binam, fanya makeke ukiweza nielelekeze na mimii
hivi huyu mama tangu alivyokuja kwenye msiba ndio kalivamia jiji mazima? huyu mwanamke ni wa hovyo sana. sasa kilichobaki na yeye aingizwe kuigiza bongo movie.
Kuigiza kwan kipaj siku iz?? Kila mtu anaigiza
Hivi hiyo kampuni tangu marehemu aondoke imetoa movie gani