Mama Kanumba kumfuta"Seth Bosco" kwenye kampuni ya Kanumba

Mama Kanumba kumfuta"Seth Bosco" kwenye kampuni ya Kanumba

Ila bina mama nae kazidi kafilisi kila kitu cha mwanae

Ushasema mali za mwanae binamu, marehemu mwenyew alikuwa na mahaba na mama yake mzazi, mwachen mama wa watu, kampuni ya mwanae aliyetok tumbon kwake ,hakuna aliyemsaidia kubeba wala kujifungua kanumba

Tuache kuvuka mipaka na wazazi wa watu khaaa
 
Tuachane na hayo vipi niliona ile nyumba ya milion 400 inapangishwa au sio yenyewe
 
Mmh uliona wap tena binamu??

Jukwaa la matangazo, lakin si ashahama,
Uwe unaingia sinta.com kuna watu wanakoment huko michambo hua nacheka mpaka naumwa khaaa!!!
 
Jukwaa la matangazo, lakin si ashahama,
Uwe unaingia sinta.com kuna watu wanakoment huko michambo hua nacheka mpaka naumwa khaaa!!!

Wee?? Iv unajiungaje ili niwe na comment kwa sijtah??, ngoja nichungulie kwanza
 
Muelekeze warumi aelewe ulichoelewa

nimeelewa sana na Acheni kudhihaki mama za watu, kanumba angekuwepo mngemsema hivyo mama yake?, yule ni mzazi bhna na sio akina uwoya na aunty ezekiel tuliyozoea kuwachezea

Mama ni mama hata awe chizi, wewe mama yako ata akikosea nn akisemwa vibaya utafurah?,

Isitoshe kampuni ni ya mtoto wake ana haki nayo
 
Last edited by a moderator:
hivi huyu mama tangu alivyokuja kwenye msiba ndio kalivamia jiji mazima? huyu mwanamke ni wa hovyo sana. sasa kilichobaki na yeye aingizwe kuigiza bongo movie.

Hahahahaaaaa! Hongera mkuu kwa kuifanya sura yangu itabasamu.
 
Back
Top Bottom