Mama Kanumba kumfuta"Seth Bosco" kwenye kampuni ya Kanumba

Mama Kanumba kumfuta"Seth Bosco" kwenye kampuni ya Kanumba

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua kumtishia kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great.

Mama huyo pasipo kuweka wazi moja kwa moja tatizo, alisema kuwa kuna kosa kubwa Seth alilifanya na alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya kuwa atamuondoa kwenye kampuni.

Ni juzi tu amefika nyumbani kwangu kuniomba msamaha nimemsamehe kama mtoto ingawa kwenye kampuni hatashiriki kwa sasa kwani ameanza kazi zake nyingine," alisema.
 
Kwa tamaa zake atamsukumiza kule kule kwenye mafurushi.
 
Huyu mama njaa sana

Inaelekea kanumba alikuwa anamtoa sana ndo mana baada ya kufa akaanza kupata uchizi
 
Hii tz yetu Mama kama hawa hatari ulimwenguni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyu mama angeachana na media na kukaa kimya. Alichofanya kanumba hakuna awezae fanya.
 
hivi huyu mama tangu alivyokuja kwenye msiba ndio kalivamia jiji mazima? huyu mwanamke ni wa hovyo sana. sasa kilichobaki na yeye aingizwe kuigiza bongo movie.
 
Mama huyu anamatatizo kwani kabla mwanae hajafa alikuwa anaishi wapi na anaishi je? Inaonesha alikuwa na maisha magumu sana huko Bukoba ndio maana alipokwenda msibani ndio kaenda mazima hadi leo hataki kurudi kwenye senene na mnyauko. Aende taratibu Dar ukiiendea pupa inaweza kukuzimisha .
 
Heeeeeeee.. Nilikua najua kampuni imebaki jina tu, kumbe bado ipo....
 
hivi huyu mama tangu alivyokuja kwenye msiba ndio kalivamia jiji mazima? huyu mwanamke ni wa hovyo sana. sasa kilichobaki na yeye aingizwe kuigiza bongo movie.

Aingizwe Mara ngapi?? Mbona Alisha igiza movie inaitwa "remembering daddy" ?
 
Yaan ishabaki kampuni jina kanumba aliondoka na kila kitu
 
hivi huyu mama tangu alivyokuja kwenye msiba ndio kalivamia jiji mazima? huyu mwanamke ni wa hovyo sana. sasa kilichobaki na yeye aingizwe kuigiza bongo movie.

mbona anaigiza na ye ni mbongo movie
 
Back
Top Bottom