Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Habari za global publishers huwa sio za kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama vipi? Hivi si afanye tu ishu zake mbona anapenda kiki hivi
Hivi anajihusisha na shughuli gani?
Ningependa kuamini hivyoHabari za global publishers huwa sio za kweli
2012 Lulu alipokuwa mahabusu walisema ni mjamzitoNingependa kuamini hivyo
Anasema yy by professional ni " Accountant"
mwalimuHuyu mama vipi? Hivi si afanye tu ishu zake mbona anapenda kiki hivi
Hivi anajihusisha na shughuli gani?
Baada ya kuona jamii imemtoa thamani ndio anaongea upuuzi huo? Atulie aendelee na shughuli zake, amesahau aliongea nini siku ile mahakamani baada ya hukumu?
Hahahahah mkuu wataka kusema nn hapaTokea aje kwenye msiba wa mwanaye, hajarudi tena kijijini
Haaa...haaa...haaa ! Lazima afanye maarifa ya kuendelea kubaki mjini.Hahahahah mkuu wataka kusema nn hapa
Ni uzee bwana msifanye hivyoHaaa...haaa...haaa ! Lazima afanye maarifa ya kuendelea kubaki mjini.