Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

Mama Kanumba: Lulu ameenda miaka 2 jela na atatoka, Kanumba hatarudi tena

Hakuwa na miaka 18 wakati yanatokea
d58eaf75a48f51021096da1dec83b43c.jpg
Uwongo kuna mahali hukwama mkuu!hakuwa na leseni?haakufanya birthday ya miaka 18?sasa amefikisha apate adhabu stahiki kulingana na kosa lake.Kanumba alikuwa na makosa yake ya kutembea na under age,na he has paid an expensive price.He died period.
 
Hii inchi ina unafki sana. kwangu mimi Lulu deserves more than 10 years jela. iyo miwili ashukuru mungu huruma ya huyo jaji, mnao sema amebakwa, sijui ni mtoto mdogo your all saying that kwa sababu ni celeb, na si vinginevyo. angeongezewa hata mitano kabisa!!!!
 
Wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kuongea.
 
Huyu mama jamani.
Mama ni kigeugeu tu. Kashatafuna Mali zote za mwanae akimuona Lulu yuko mtaani anatesa kaona aliamshe afungwe, alishasema sijui kamtupa sijui nini.
Mwanao kafariki life has to go on, watu hawawezi kulialia kila siku.
Na Lulu alikua mtoto Na sasa anajitambua hawezi kuishi km mjane wakati vijana kibao mjini wanamtaka
 
Ni kuweweseka tu. Akirudi ndio uasama itakuwa mkubwa sana. Lulu ataendelea kuigiza Na kupata pesa. Na kanumba ayupo kaoza
 
Ni kuweweseka tu. Akirudi ndio uasama itakuwa mkubwa sana. Lulu ataendelea kuigiza Na kupata pesa. Na kanumba ayupo kaoza

Hata huyo lulu kuna siku atakufa na ataoza pia.......kama ambavo kanumba hakubeba chochote ata yeye hataondoka hata na sent kwenye jeneza
 
Uko sahihi mtoto anauma saana jamani watu wanashindwa kumuelewa huyu mama anaendeshwa tu na uchungu Na si vingine
kweli kabisa,tulioingia labour ndio tutaelewana lugha hapa, uchungu wa mtoto haupimiki
 
Yaani huyo mama bado anaamini kweli hako katoto kalimuua mwanae.
 
Siku moja baada ya Elizabeth Michael 'Lulu' kuhukumiwa kifungo cha kutumikia jela miaka miwili kwa kosa la kuua bila kukusudia, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Frora Mutegoa amesema wanaombeza kwa kuishukuru mahakama wamuache kwa kuwa hakuna mwenye uchungu zaidi yake.

Jana baada ya Mahakama Kuu kumtia hatiani mwigizaji huyo na kumpa adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela, Mama Kanumba aliishukuru mahakama akisema imetenda haki jambo ambalo lilizusha gumzo wengi wakisema hakupaswa kufurahia adhabu hiyo.

Akihojiwa na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu jijini Dar es salaam jana Jumatatu baada ya hukumu kutolewa alisema anashukuru kwa kuwa haki imetendeka na kwamba atakwenda kumzika rasmi mtoto wake.

Hata hivyo, Mwananchi leo Jumanne amenukuliwa akisema asibezwe kwa kauli hiyo kuwa hakuna anayejua uchungu anaoupata kila siku.

"Mimi sijui kama ninafurahia kama wanavyodai, waulize kwamba, yeye Lulu alipokufa mwanangu Kanumba alifurahia? Mimi ni mkristo, sipendi kuona baya likimfika binadamu mwenzangu, lakini Lulu ameenda miaka miwili jela na atarudi, je mwanangu atarudi lini? nitamwona wapi tena"? Amehoji.


So what? Kwani Kanumba ni wa kwanza kufa?Let that evil woman shut the fvck up! Huu utoto unachosha sana, mwambie basi na yeye ajinyonge amfwate, watu tunapoteza ndugu na jamaa kila siku na maisha yanaendelea huyu Mama anaona yeye ndo wa kwanza kufiwa?
Bullshit!
 
Chini ya miaka 18 lakini akili na mambo yake ni kama ana zaidi ya miaka 25 hapo inakuwaje?
Lulu kwa wakati anatembea na kanumba alijifanya ana miaka 18 hata club alikuwa anaenda nk .Kanumba angejuaje umri wake?Mimi nafikiri wazazi wa Lulu wana makosa zaidi maana walijua umri wa mtoto wao ila hawakuuweka wazi ingemsaidia mtoto wao kutokuingia matatizoni.
 
Back
Top Bottom