Mama kapata mafao, afanye biashara gani?

Nimeona uzi very late ,aende dodoma anunue kiwanja kizuri hata 1 acre or + ,ajenge hotel iwe navyumba hata 10 , aweke na recreation center ,swimming pools nzuri kubwa ,jiko la chakula kizuri na nyama choma (kama hana utalamu wa kusimamia wapishi aweke subcontractor yeye akusanye kodi ya vyumba ,na ya jiko na vinywaji pia anaweza akaweka mtu . Vyumba viwe standards , bei ya chakula iwe standards. Ataishi vizuri tu mbona
 
Mi naona amepata pesa lakini hajui aifanyie nini. Hebu nipe mawasiliano yake
 
Hio pension ni bei gani mpaka itoshe kufanya yote hayo?
 
Achana nayo hyo haina maana.
Yaani aiweke benki halaf asubirie riba ya asilimia 8 kwa mwaka.
Yaani ukiweka milioni 10 maana yake kwa mwaka utapata interest ya laki 8.
Ila nimeskia kuna bank zina intrest hadi ya asilimia 9 kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…