Mama kashindwa🤦🏾‍♂️ sasa anasema hatuna demokrasia tuna “utamaduni”

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!

Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu?

Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
 
Ila we jamaa sijui una matatizo gani tu.

Unampenda sana huyo Samia mpaka unashindwa kuacha kumuita ‘mama’?

Kila mada yako inayomhusu Samia unamuita hilo jina.

Una Stockholm’s syndrome?
 
punguza upotoshaji nonsense gentleman, tafadhali sana aise
 
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!

Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu?

Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Anataka kuleta ukomonisti wake.
Kama Urusi, China na Korea Kaskazini chama kimoja tu ndo kiwe kinashinda kwa kishindo ,asilimia 99 , kunyima demokrasia , utekaji , uuaji na kufunga wapinzani.
Huwezi kusema tuna utamaduni na mila zetu halafu rushwa nje nje, ubadhirifu wa mali za umma nje nje, ndugu na washikaj zako ndo wapate nafasi kwenye utawala wako, halafu watu wasiongee.
Samuya ni sumu kwa Taifa letu.
 
Utamaduni anaoongelea ni wa kuifisadi na kuinajisi nchi bila kusumbuliwa wala kuhojiwa. Very sad😇
 
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!

Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu?

Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Ila we jamaa sijui una matatizo gani tu.

Unampenda sana huyo Samia mpaka unashindwa kuacha kumuita ‘mama’?

Kila mada yako inayomhusu Samia unamuita hilo jina.

Una Stockholm’s syndrome?
Kwanza siyo mama.

Ni Bibi
 
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!

Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu?

Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
Utamaduni upi? Wa kuteka watu na kuwafira?
 
Back
Top Bottom